Nchi ilipo sasa: Mwanajeshi anakuwa Traffic Police, Taasisi zinajipangia faini zao bila utaratibu

Hawa watu tunaishi nao, huyo jamaa anaonekana kwenye video na jina limeishapatikana na mahali anapoishi, sasa kelele za nini?
 
Akisikika siku moja akisema "iko siku mtanikumbuka, na mtanikumbuka kwa mema, ....... Nimejitoa sadaka maisha yangu ili kuwasaidia Watanzania.

YAMETIMIA.
 
Mama hajali, yuko bize kudeploy mapolisi mitaani kusaka watu wanaonunua madada poa na kuchapa viboko watu wanaokula mchana.
 
Sasa wewe jamaa umeandika nini? Kunywa maji afu ukitulia andika vizuri ueleweke sio kukurupuka kama Chadomo.
 
Unafaham kuwa uhalifu mwingi ulifanywa na wabaya wake ili kumfanya aonekane mhalifu?
Kama ni hivyo kwanini hakukemea wala kuunda tume kuchunguza uhalifu dhidi ya ubinadamu uliofanyika katika utawala wake?
 
Might makes right

Siku zote mwenye nguvu, mwenye silaha lazima umsikilize na umuheshimu. Ukileta ujuaji na ubishi, utaipa matatizo tuu familia yako.
Kauli ya kinyonge sana hii Mkuu.
Kisa amebeba silaha nijinyenyekeze kwake ilhali ananionea?

Abadani..! Niue tu aisee
 
Wapo wapuuzi watakaodai awamu ya tano hayakuwepo haya kumbe hao wajinga ndio walinyanyasa na kudhuru watu wengi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…