Mkamanga junior
Senior Member
- Jul 27, 2018
- 159
- 225
Sio rahisi, kihivyoHii inawezekana.
Kwakua waliojitokeza kupiga kura walikua wachache mno. Unaenda kupiga kura unakuta askari wapo kwenye difenda wanapiga stori, hakuna wa kumkamata wala kutuliza vurugu.
So inawezekana hivyo kwamba wamepita ndiyo ila wachaguaji walikua wachache. Kuingiza watu barabarani? Mwitikio wa watu kwenda barabarani utatoa picha kama kweli wapinzani walipigiwa kura nyingi za kustahili ushindi ama la..
Ila wapinzani nao wametia dosari sana hasa kile kipindi wanatoka bungeni na kususia vikao wananchi nasi tunachoka na njia hii ya kususia, tunawachagua wa kututete bungeni wao wanatoka bungeni
Hilo sio la kufurahia, muda ni mwl.mzuriHahaha Hadi Raha
kutwa Kupinga kupinga Dawa yao ndiyo Hiyo
Ila wapinzani nao wametia dosari sana hasa kile kipindi wanatoka bungeni na kususia vikao wananchi nasi tunachoka na njia hii ya kususia, tunawachagua wa kututete bungeni wao wanatoka bungeni
Itapendeza maana MaCCM mengine siyaaminiMagufuli anakwenda kuwa Rais, Rais hadi kifo kimtenganishe na Urais.
Sikuzote wanalalamika kuhusu wizi ata kama hakunaKwa tulioshuhudia uporaji wa uchaguzi na wizi wa kura wa mchana kweupe, tutegemee kishindo kikubwa siku za usoni.
Time will tell
Unaishitaki kwa lipi?Na uwezekano wa maandamano ni mdogo sana nchi hii labda sijui
Hapa kete kwa wapinzani iliyobaki ni kwenda kuishataki tume kwenye taasisi za kimataifa nchi ipigwe vikwazo,inyimwe misaada tuimbe wimbo mmoja
Bado una akili fupi za kitoto sana kisiasa.Ila wapinzani nao wametia dosari sana hasa kile kipindi wanatoka bungeni na kususia vikao wananchi nasi tunachoka na njia hii ya kususia, tunawachagua wa kututete bungeni wao wanatoka bungeni
Unataka kusema bunge lililopita licha ya uwingi wa sişiemu hawakuweza fanya hivi?Bado tusubirie Katiba Kubadilishwa Raisi kuongezewa muda wa kuendelea kutawala.