Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

Hahaha Hadi Raha
kutwa Kupinga kupinga Dawa yao ndiyo Hiyo
Kupinga ndo nini jinga wewe yaan mnakaririshwa na jiwe na nyie mnaropoka tu sio kwamba wanapinga Ni kwamba wanakosoa njia zinazotumika Sasa nyie mkikosolewa mnasema kupinga jiwe mpenda sifa anavyowaburuza ccm anataka na bunge aliburuze ,embu taja kitu kimoja walichopinga wapinzani na hata wakipinga ndo maana ya upinzani Sasa Kama wote wakiwa na wazo moja Hilo bunge au maiti nini maana ya discussion,uvccm vilaza sana
 
Waliondani kusubiria ushahidi ukamilike wazee wa uhamsho, masheik, na wote wasio na chapa 666 ndo Basi wasahau kutoka, waseme tu bwagamoyo.
Tegemeo teuzi nyingi za sampuli ya sabaya, wapinzani, wanaharakati, wakosoaji wasicheze mbali na balozi za weupe Hawa angalau Wana utu wapate pa kukimbilia.
Ni mwendo wa kulimia kucha na kuisoma herufi Kama ukuguswa awamu iliyopita tegemea hii.
Tanzania Mungu ametuacha ni mwendo wa mateso mpaka Basi Hadi 2040 miaka 20 kuanzia sasa andaeni machozi tu.
Ukiona greda limekuja kukusalimia kuwa mpole ni wakati wa mavuno
 
Tanzania ya kesho hatujajua itakuwa ya aina gani?

Anyway... Wapinzani pia wamechangia hili kutokea mfano kitendo cha kukubali kushiriki uchaguzi mkuu ilihali uwanja wa kisiasa haupo sawa yaani kukosekana kwa tume huru ilikuwa ni makosa.

Baada ya kushuhudia kilichotokea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana ilikuwa ni kiashiria tosha kwa kitakachotokea mwaka huu ila wapinzani hawakulitilia maanani hili.

Anyway...tuvumilie tu maana wenye nchi yao (wenye madaraka) wametaka iwe hivi.
 
Ila wapinzani nao wametia dosari sana hasa kile kipindi wanatoka bungeni na kususia vikao wananchi nasi tunachoka na njia hii ya kususia, tunawachagua wa kututete bungeni wao wanatoka bungeni
Rais wako jiwe alikua anasema anashindwa leta maendelea kwasababu anachanganyiwa magunzi, now wote ni ccm, tunataka kuiona Tz kama Ulaya, sawa dogo?
 
Acheni kulialia box la kura limeamua...Hongera CCM


Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Sasa wale CCM wa kitaa mnaofurahi upinzani umekufa.. subirini miaka mitano ijayo kama watakaoisoma namba ni upinzani tu.

Hakika na nyie mtajuta.
 
Majimbo yote ya upinzani nimefuatilia kipindi hiki cha kampeni wananchi wamekuwa wanahoji wabunge wao walikuwa wapi miaka yote wanarudi sasa hivi

Wengi hawaelewi kwamba mikutano ya kisiasa ilikatazwa kufanywa na serikali kwa wapinzani kura zilizopigwa ni za hasira bila wao kujua
 
Sisi watanzania tuliopo Diaspora (Congo) tunawapa pole sana ndugu zetu mliopo nyumbani (tanzania) magu ndo mpo nae mpaka siku kifo kitakapomtenganisha na urausi
 
Wapinzani walikuwa wanaigiza kama Kaole!

Waigizaji ni CCM mzee unaenda kumpa ubunge mtu alosema ubunge ubunge ni kujishusha mbele za Mungu si anawaoneni ninyi wasengelema, yan anaenda kufanya nini kwene cheo alichokikataa moja kwa moja ? sijawahi ona majitu majinga kama ya hii nchi, watu wamepagawa sana hapa bongo hasa maaskari wanaish maisha ya kimaskini lakin yakipewa elfu mbili mbili zao yanachanganyikiwa yan nimewashangaa sana duuuh,
 
Wakimaliza upinzani wataanzana wao kea wao, yaan ndo linaweza kuwa baya kupita kiasi
 
This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana toka 1992. Leo hii tunaingia kwenye bunge ambalo wabunge wote ni CCM 100%kutoka bara. Labda wa ACT kutoka Pemba kuingia bunge wa JMT, ila napo it depends na kama watakubali au itakuwa kama last time.

Kwa hakika ni uzuni. na wananchi tusishangilie hili. Nchi imeingia katika majaribio makubwa sana. kwa wale slow learners mtaanza kuona madhara yake not even far just 2022.

Nidiriki kusema haijawa njia sahihi na sio afya kwa demokrasia. Mapungufu na wizi ulikuwepo wa kiwango cha juu sana sana. Anyway, tumerudi nyuma hatua 30 katika demokrasia aliyotuachia Baba wa Taifa na Mzee Kikwete.

Hata Mwalimu Nyerere alikuwa anarusu fairness na amekuwa na wabunge wa upinzani before Chama kimoja. Mwinyi naye. Mkapa naye na Kikwete naye. Ila hii ya wabunge wote kutoka bara kuwa CCM... Duuuuh!. kweli tunatofautiana fikra
2025 nadhani tutaambiwa Maendeleo yamecheleweshwa na Mbowe.CCM wamebugi kujipitisha wote Ni kosa la kiufundi
 
Jaji Mugasha alaaniwe na uzaobwake Kwa hukumu ya dhuluma. Bila hukumu ya hovyo aliyoitoa haya yasingelitokea
 
Back
Top Bottom