Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

Hivi unajisikiaje wewe mwananchi wa hai, arusha mjini na Moshi mjini, mbeya mjini, mbunge wako kakaa miaka 10+ hamna kitu amefanya alafu unasikia mwanza, dsm, pwani na mikoa mingine inapaa tu, roho lazma ziume na hayo ndo matokeo yake
Pwani ina nini cha maana au ina kipi cha kuizidi Iringa tu achilia mbali Arusha?

Hiyo DSM majimbo yenye maendeleo makubwa ni yapi?
Hiyo Mwanza ya 2014 na ya sasa kumeongezeka nini zaidi ya daraja la furahisha?
 
Maendeleo yana vyama!
Strange enough kodi haina vyama!

P unanichekesha sana na hii mada, ya kuunga mkono juhudi!

Tuseme tu haina haja ya kuwa na vyama vingi, siyo for the sake of unity!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
CCM = TANZANIA, hapo ndo kwenye tatizo.
 
Wapinzani hatujakosea kama ccm ilivyokosea wananchi mfano wakulima wa Pamba,korosho.
Itashitakiwa kwa unfair election hence hakuna democracy na hivyo watunyime tu misaada.
Ndugu hakuna cha kushtakiwa wala nini Sheria ya ICC sio kufungua kule moja kwa moja ni lazima shauri lifunguliwe kwenye mahakama ya ndani then itakapofeli kutoa hukumu ndipo ICC inahusika.

Kuitwa ICC ni jambo moja na hukumu ni jambo lingine mpaka hapa mchezo umeisha,utaona mwenyewe.

Na Rais akitangazwa hupingi popote,imeisha hiyoo CCM hoyeee...
 
Mbona makosa ya Wabunge wa CCM huyasemi?.Binadamu bhana anaangalia tu wapi ulikosea lkn haangalii wala kuhesabu mema uliyoyatenda.
 
Huna lolote. Sema tu wazi kwmba wewe mnufaika wa CCM. Eti Nchi yako Tanzania? Kuna chama cha upinzani kiko Tanzania kimetokea Lebanon?
 
Hicho kiapo chako ukikumbuke hata pale wewe itakapotokea ukamhitaji mtu wa CCM kwa msaada

Siasa sio vita
 
CUF - Lipumba kapata kiti Mtwara ANGALAU
 
Huna lolote. Sema tu wazi kwmba wewe mnufaika wa CCM. Eti Nchi yako Tanzania? Kuna chama cha upinzani kiko Tanzania kimetokea Lebanon?
Nimepitia kwa kusoma na kuelewa ilani za vyama vitatu vya siasa ambavyo vilionyesha ushindani katika kampeni! Maelezo niliyoyatoa juu ya Tanzania yamejengwa katika msingi huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…