Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

Msikilize mhanga wa ajali hiyo hapa chini. Ndege ilikita chini mbele hivyo maji yaliingia haraka sana kupitia mbele hivyo abiria waliokuwa nyuma ya ndege ndio waliweza kuokolewa kirahisi.
Your browser is not able to display this video.
 
Nimejisikia aibu sana...Kweli karne hii Mungu wangu, hakuna hata emergence boat kwenye uwanja ambao miaka kafhaa uwanja wa ndege upo karibu na ziwa? Nani ametuloga ndugu zangu?
 
Msikilize mhanga wa ajali hiyo hapa chini. Nsehe ilikita chini mbele hivyo maji yaliingia haraka sana kupitia mbele hivyo abiria waliokuwa nyuma ya ndege ndio waliweza kuokolewa kirahisi.
View attachment 2408655
Usitetee uzembe, walipotoka hakukua na kitu chochote cha kuwaokoa, so imagine uwanjani kule hawakuwa na tarifa? Distance ni kubwa kiasi gani kati ya hapo na ilipotua ndege majini? Disaster management yao ikoje?
 
 
Mungu Wabariki wavuvi wa Ziwa Victoria , pamoja na kuporwa mitumbwi yao na Kuchomewa moto nyavu zao , LAKINI HAWAKUKATA TAMAA , LEO WAMEKUWA MSAADA KWA NCHI YAO
 
ilitakiwa awepo kiongozi mmoja ndani ya hio ndege ili kuzindua mamlaka usingizini. Mikopo yoote inayochukuliwa haina msaada kwa wenye hali duni
 
Ile video kwa Millard Ayo wale wanajeshi wawili wanapiga story tu badala wazame kwenye uokozi 🙌
Mkuu, sio kila mwanajeshi ni mwokoaji, tusiwe wenye kukashifu tu, tunaoneka wajinga. Hivi unajua kuna jeshi la nchi kavu, anga na majini?
 
Wakuu hela zitatolewa kwenda safari hata kama siyo za muhimu. Hela zitatolewa kama kuna sherehe. Hela zitatolewa kama kuna bday ya rais na ujinga wote duniani. Majanga shida njaa sijuwi kitu gani muhimu mtajijuwa. Nchi imeoza kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…