Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

Tu
Kwa hiyo wananchi ni bora kuliko mwanajeshi?
Tuliza kichwa mkuu, wanajeshi wakiwa wachache mfano hao wawili wana-task organize. Sio lazima wote washike kamba, bali wengine hupanga utaratibu mzuri wa uokoaji. Kila mmoja hushiriki kwa nafasi yake, tusiwe na tabia ya kulalamika na kulaumu kila tukio tunaloliona kwenye picha kwa kulipa tafsiri zetu. Hili nalo ni tatizo la afya ya akili.
 
Itoshe kusema we’re on our own. Wa kuwaita viongozi ndo hao wanatuambia tuhamie burundi
 

TUMEAIBIKA SANA ….SASA TUNA MAJESHI KWELI ….? MASAA NANE WAMESHINDWA KUOKOA HATA MTU MMOJA …WAKATI WAVUVI WAMEWEZA KUOKOA WATU 26 PEKE YAO
 
Ukisoma taarifa ya serikali ya ajari hii,hawakuwataja wavuvi kama wamehusika kwenye uokoaji,wanasema ni watu wao wa usalama
 
Muda mwingine ni heri ukakaa kimya utaonekana wa maana zaidi.
 
Mh embu tupe ilipazwa kufutwa na nin na minyororo ama nn manke umeongea as if Kwamba Kuna njia uanzo jinsi ya kunazua hyo ndge Chini ambayo haitatumika tena ktk
Acha makasiriko,umeridhishwa na kazi ya uokoaji?
 
Walio okolewa wali pitia wapi.walio baki walishindwa kuwapitishia hapo au wali ambiwa bakini umo umo tuwavute [emoji28][emoji28]
 
Waziri mkuu anashupalia apewe maelezo za abiria wawili waliozida sii uokozi na vifaa vya uokozi. Wakati ofisi yake ndio inapewa mafungu ya maafa aibu sana. Hili ni doa kwa nchi nzima na aibu tosha kabisa. Viongozi wapo maeneo ya matukia kupigwa picha aibu sana.
 
Walio okolewa wali pitia wapi.walio baki walishindwa kuwapitishia hapo au wali ambiwa bakini umo umo tuwavute [emoji28][emoji28]
Walipofungua mlango wa dharula maji yalianza kuingia naona ndo yaliwazuia wengine kutoka
 
Alafu linajitokeza libibi kizee limoja limelegea macho linayaelekeza majizi menzie 'na hili mkalitizame'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…