Nyie machawa sijui akili zenu huwa ziko matakoni, yaan muda wote huwa ni kutetea tu kila aina ya maovu tu mbwa nyie..Hatakama nchi hii ina viongozi wezi tusiowapenda lkn tuache personal attack, mnauhakika gani hizo pesa zimetokana na kodi zenu? Na kuna wengine eti walipoona hiyo video wamelia kwa uchungu, uchungu gani huo mbona tunapenda kuhusisha hisia mahala pa kutumia akili?
Utajiri wa hawa wanasiasa wezi na vibaka haiwafanyi watu wao wa karibu kushindwa kuishi maisha ya ndoto zao wala kula bata kwao eti wajifiche kisa kukuogopa mtanzania utajisikia vipi.
NARUDIA TENA, hii video wala haihusiani na kodi zetu tuache kulalamika pasipo hitaji kulalamika, kodi zetu ni kweli zinaliwa lakini hazihusiani na hao watoto wa vigogo ambao wana mabiashara ya kila aina, vitega uchumi vya kila aina, na wengine wamezaliwa ktk bloodline ya kitajiri hivyo pesa kwao zipo hata kabla ya wazazi wao kuingia ktk siasa, sasa watu wa aina hii tunawahusisha vipi raha zao na Kodi zetu kupotea?
Tuache roho mbaya ya kishetan kuchukia raha za wengine, kuhonga mamilioni kwa watu aina hiyo kwao kawaida pengine hata zaidi, na haihusiani na wizi wa Kodi zetu.
Nchi imeoza na CCM kiujumla ina wezi, lkn tusiingilie mipaka ya hao ndugu zao ambao hata hatuwajui vyanzo vyao vya pesa zao na kuanza kulalamika kipumbavu.
Masikini wana roho mbaya
Huyo mpumbavu anaonekana wala hata sio mnufaika wa ufisadi, bali huyo ni wale wabongo wanaojikutaga wajuaji wakikuta sehemu watu wanajadili jambo fulani kwa uchungu, yeye anajifanya kutofautiana na mawazo ya wengi hili aoneshe superior intelligence.Au itakua ni moja ya watoto anatetea ufisadi, kanishangaza, mtu unalipwa elfu kumi Kwa mwezi lakini unaishi Maisha ya mtu anaelipwa milion Kwa mwezi, wenye akili Tu ndio watakaoelewa
Ooh sasa hapa ndio nimekupata kwa hiyo kumbe issue ni size ya circle ya wanaufaika wa ufisadi sio?Jiwe alikuwa anakula na watu wake wachache tu. Na alikuwa kiongozi mbaya sana. Huyu anakula na watu wengi wakiwemo machawa na viongozi wengine. Lakini na yeye hajui hata anaongoza nini au kusimamia nini.
Wewe mzee huwa ni mpumbavv mno nimeshakwambia sana humu uache ujinga unajidhalilisha mbona kuna machawa wenzako kibao tu wenye akili kuna muda huwa wanakaa pembeni kama hawana hoja ya kutetea ufisadi wa maccm?Fake dollars za kupigia picha mbona zipo tu. Milioni 700 wanabeba kifuani? Halafu wanajipiga picha na kuziweka mtandaoni?? Please hata kama ulifeli la 7 B, basi tumia akili ya kuzaliwa. Chuki kwa matajiri isikufanye mpumbavu
Yule Professor Assad alikuwa ni swahiba wa Kikwete, na hata lile sakata la huo ufisadi wa 1.5t kama unakumbuka vizuri alishindwa kufafanua kwa usahihi imepotelea wapi, na ndio sababu ya kuenguliwa na JPM.Huyu Assad kama kweli alikuwa mtetezi wa pesa za watanzania mbona sasa hivi yuko kimya sana?
Mtu mkweli hua habadiliki, angehoji kuhusu mgodi wa makaa ya mawe, tozo zisizo na maana uwanja wa ndege, gharama za bando, umeme, n.k. Vipi kuhusu ahadi ya kuunganisha umeme wa REA Kwa Tsh 27,000 vijijini, imeenda wapi?
Jamaa hauoni hata aibu kutunga uongo?Kingine unajua kuwa watu walitaka kujua manunuzi ya ndege na bei zake jamaa akalihamishia shirika chini ya Ikulu ambapo hakuna ukaguzi,je walijua hili au hulijui?
Huyo mpumbavu Allency comments zake nyingi humu yaan karibu zote huwa ni za kupambana na Magufuli, yaan yeye akija kwenye mada kama hii huwa anawinda comments ambazo zinamsema JPM kwa mazuri kisha anaanza kupingana nazo.bora hata umemjibu! Yaani nimeona hamna haja ya kumjibu kwani unaweza kuta yeye ni mmoja wa wale waliotimuliwa kisa vyeti feki asa unategemea atamsifia?
Kama Magu angekuwa fisadi kweli, wangemchana live kwasababu walimchukia sana.Yule Professor Assad alikuwa ni swahiba wa Kikwete, na hata lile sakata la huo ufisadi wa 1.5t kama unakumbuka vizuri alishindwa kufafanua kwa usahihi imepotelea wapi, na ndio sababu ya kuenguliwa na JPM.
Ni kweli aliliweka shirika chini ya ofisi ya rais ili ndege zisijekamatwa, kwa sababu ATCL ilikuwa na madeni.Kwmba shirika la ndege likawa chini ya Ikulu???
Very good point.Imagine hapo amekaza pumbu anaongelea ufisadi uliofanyika enzi za Magu, ila hakuna comment yake hata moja kwenye huu uzi ambayo ameongelea ufisadi wa Samia.
Mtoto ana macho ya kitandani ukiingiza sana utasikia naumiaaaa nitakusemea kwa babaaaa
Atakuwa ashapotezwa aliyesambaza hiyo videoAnaye rekodi ana roho nzuri maskini. Hataki hata mambo mengi, yeye anaenda zake kujichotea zingine 😁
Huyo ***** ukifuatilia comments zake humu jamvini, anaonekana tu baada ya kutolewa na JPM kwenye ulaji amekosa kabisa ujanja wa kurudi kwenye system, kwa hiyo amebaki kufuga hasira tu kwa JPM, huku akijificha kwenye hoja dhaifu ya ufisadi. Mjinga sana huyu dogo.Very good point.
Kumbe na wewe ulijiuliza hilo swali kama mimi, inakuwaje TRA wanafuja pesa kipumbavu vile? Hivi kulikkuwepo na haja gani ya taasisi kudhamini shindano? Kwamba TRA wanatafuta popularity hili watu waipende au??TRA badala ya kukusanya kodi ili zipate kwenda kutatua matatizo ya wananchi, nimehuzunika sana kuona wanafanya upumbavu kiwango cha lami! Unakusanya trilioni 30 halafu bado miaka 50 ya uhuru kuna watoto wanasoma shule hazina matundu ya choo? Like seriously!? TRA inanunua timu ya mpira? Yaani kwenda kupeleka maendeleo ya miradi ya maji vijijini wao kununua timu ndio kipaumbele?
IPO SIKU WAJUKUU ZETU WATATUULIZA MASWALI MAGUMU SANA KWA NAMNA HII NCHI INAVYOENDESHWA!
Katika watu ambao sijawahi kuwaamini kabsa ji Mwigulu 😔 yule hanaga nia nzuri kabisaKumbe na wewe ulijiuliza hilo swali kama mimi, inakuwaje TRA wanafuja pesa kipumbavu vile? Hivi kulikkuwepo na haja gani ya taasisi kudhamini shindano? Kwamba TRA wanatafuta popularity hili watu waipende au??
Bila shaka ile ilikuwa ni idea ya Mwigulu Nchemba