Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Huyo mod anayefuta uzi wakati watu wanatumia VPN kuaccess hii platform ni Qumamae!!!Moderator huu uzi udumu usiufanye kama ule wa kwanza, nchi inaliwa hii, magufuli alisema inachezewa sasa hivi inapigwa kote kote.
Iyo dole la kati imenipita. Niione pm basi chifu ilo hasira zinipande mara dufu.Dogo vuzi hata hazijakomaa anawaonyesha dole la kati kisa eti baba yake boss wa usalama qmmkewalai
HUyu ni nani ndg
Ni huzuni sana
Junior huyo wa mkuu wa usalama wa wanasiasa.H
HUyu ni nani ndg
Hahahah.....patriotism uongo mtupuHii nchi isikuumize kwa sasa Mungu akikusaidia Ukapata kitengo Hakikisha unaikamua vya kutosha
Nilipo kuwa Shule wakati nafundishwa kuhusu "PATRIOTISM" nilijua ni Serious Kumbe njoo mtaani Sasa, Walioapa wenyewe kwa Vitabu vya Mungu hawana habari na hilo neno.
Ije kuwa Mimi Kabwela? Shule Zingefuta tu hicho wanachofundisha hamna maana KABISA
Halafu wanafungia JF KUKU kabisa hawaWatoto wa Mkuu wa Usalama wa Taifa wakiwa wana enjoy matunda ya watanzania wasio na uchumi sahihi,
Wanaonesha madolali na kutambia watanzania Wengine
Nimekumbuka ilikuwa asubuhi tarehe 17/02/2025 nikakutana na mtoto wa mstaafu fulan ambaye aliwahi zushiwa kuwekwa kuzuizini
Aliniambia hivi “Magufuli alikuwa dikteta na mwenye hulka ya ujuaji bila kusikiliza Wengine ila hakuwa na Ujinga na Ubadhilifu Kama tunaopitia” akaendelea kwamba Naona wapuuzi na wajinga wajinga wame rudi kwa kasi sana mitandaoni wanashabikia wasiyoyajua” mpaka tunaongea kuna Pesa ya mkurugenzi wa Kitengo fulan ***** iko Seychelles na Maldavies, nikashangaa, akaongeza kwamba amenunua hisa kwa majina ya watu kadhaa kwenye DSE na BONds, Majina aliyataja nikaona kuna ukweli, anaendelea kueleza kwamba pamoja ni Hiyo si yeye tu alipewa 6B alafu Mwingine Mkuu wale Mbwa wakakamavu amepewa 1B ( wale wa tumelikamata lijambazi)
Hela hii ni kwa ajili ya kuhakikisha hakuna maguu ya mtu yeyote kukanyaga barabarani kudai haki lazima wasilibwe!
Mpaka sasa tunaongea wakuu wa idara kadha wa kadha hawafanyi kazi kwa ufanisi walk bali wa maelekezo ya boss wao
Britanicca
Dk huyo anayeongea kwenye Video ni yule jina lake linaanzia na FAHI* ?Junior huyo wa mkuu wa usalama wa wanasiasa.
Mkuu,Acha tu leo nimelia sana nikiangalia jinsi hela mtaani hakuna watu tunagombea mia mbili afu dogo tu hata haja balehe anatuonyeshea dole la kati.
Hapa nadhan ni akina... choicevariable, tiatiaah, chiembe johnthebaptist na genge lao!!!!wapuuzi na wajinga wajinga wame rudi kwa kasi sana mitandaoni wanashabikia wasiyoyajua”