comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo.
Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo wa mawasiliano ya Lissu akiwa mteja wa Tigo.
Katika mawanda ya tamko la haki za binadamu, kila mtu anayo haki ya faraga, hivyo haikuwa sahihi Tigo kutoa siri za mteja wao -Lissu. Hata hivyo, Tamko la haki za binadamu linabainisha kuwa maslahi mapana ya taifa yata taramadi dhidi ya haki, stahiki na maslahi ya mtu au kikundi.
Aidha taarifa ya the Guardian haionyeshi ni kwa vipi kuvujishwa kwa taarifa za Lissu kwa serikali kunahusiana na kushambuliwa kwa Lissu.
Tanzania na watanzania tuna haki ya kujua nani walikuwa wanawasiliana na Lissu na maudhui ya mawasiliano yao.

Google Search
www.google.com