Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ipaswa kujua ni nani alimpiga risasa 36 tundu lissuGazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo.
Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo wa mawasiliano ya Lissu akiwa mteja wa Tigo.
Katika mawanda ya tamko la haki za binadamu, kila mtu anayo haki ya faraga, hivyo haikuwa sahihi Tigo kutoa siri za mteja wao -Lissu. Hata hivyo, Tamko la haki za binadamu linabainisha kuwa maslahi mapana ya taifa yata taramadi dhidi ya haki, stahiki na maslahi ya mtu au kikundi.
Aidha taarifa ya the Guardian haionyeshi ni kwa vipi kuvujishwa kwa taarifa za Lissu kwa serikali kunahusiana na kushambuliwa kwa Lissu.
Tanzania na watanzania tuna haki ya kujua nani walikuwa wanawasiliana na Lissu na maudhui ya mawasiliano yao.
Google Search
www.google.com
Taarifa za Lissu- zikiwa mikononi mwa Tigo- bado siyo za Lissu bali hizo ni za TIGOila zinamhusu Lissu..kudukua ni kuchukua mawasiliano ya mtu bila ridhaa yake, na nje ya utaratibu wa KISHERIA.
..huyo X wa Tigo anasema taarifa za Lissu zilipelekwa serikalini bila kufuata utaratibu wa kisheria.
Ni kweli lakini kwa kufuata utaratibu na sheria zile zile zilizotungwa na serikali yenyewe kwamba lazima. Serikali kupitia mahakama iombe hizo taarifa kutoka kampuni husika na mhusika ajulishwe kiholela.Mkuu kwani hizo taarifa ndizo zilizompiga risasi? Hivi hujui na siyo siri kuwa taarifa zako serikali inazo au wakizitaka watazipata- kwenye simu zenu hizo hakuna siri; ndiyo maana wenye akili wote wala hawazitumii
Hiko kitu hakitokaa kitokee, hawatoweza kujustify hilo zaidi itaonekana gov ndio inahusika which ni doa kubwa
Taarifa za Lissu- zikiwa mikononi mwa Tigo- bado siyo za Lissu bali hizo ni za TIGOila zinamhusu Lissu
Apple continues to refuse Barr’s request that it help find a way for law enforcement to access encrypted devices with a court order, like the one Apple resisted in 2016 in the case of a shooter’s iPhone in San Bernardino, California. In that case, the point was dropped when the FBI was able to crack into the phone without Apple’s help, but the incident raised questions about the balance between civil liberties and public safety that have yet to be settled...Na Tigo hawapaswi ku-share taarifa hizo na yeyote yule bila ridhaa ya Lissu, au amri ya MAHAKAMA.
Apple continues to refuse Barr’s request that it help find a way for law enforcement to access encrypted devices with a court order, like the one Apple resisted in 2016 in the case of a shooter’s iPhone in San Bernardino, California. In that case, the point was dropped when the FBI was able to crack into the phone without Apple’s help, but the incident raised questions about the balance between civil liberties and public safety that have yet to be settled.Nasoma komenti za wadau hapa. Kutokana na komenti namba 23 na komenti namba 26, ina maana melo ameshawapa/atawapa serikali taarifa binafsi za wanachama wa jf endapo zitahitajika? Na endapo taarifa za mwanachama wa jf zikawa accessible na serikali, na ikatokea mwanachama amedhurika je , jf itakuwa accountable kisheria?
Mkuu kuna muktadha usitegemee sana sheria- inakula kwakoInatakiwa TIGO wajibu hizo tuhuma. Maana Kuna procedure ya kisheria kutoa taarifa za mteja.
Apple continues to refuse Barr’s request that it help find a way for law enforcement to access encrypted devices with a court order, like the one Apple resisted in 2016 in the case of a shooter’s iPhone in San Bernardino, California. In that case, the point was dropped when the FBI was able to crack into the phone without Apple’s help, but the incident raised questions about the balance between civil liberties and public safety that have yet to be settled.
Hili la kudukua taarifa za watu ipo kila mahali na kila nchi. Miaka kadhaa taarifa ilivuja USA walikuwa wanasikiliza taarifa za viongozi mbalimbali wa nchi karibia zote marafiki zake. Ukiwa high profile figure ni busara kufikiria unafuatiliwa mawasiliano yako na kuchukua tahadhari.
Mkuu rudi usome ili usimame kwenye ukweli- wanadukua kila mtu huko USA..USA wanadukua watu wa mataifa mengine.
..hawadukui wanasiasa au raia wa USA.
..USA pia wanaua raia wa nchi nyingine, lakini huwezi kusikia serikali yao imemuua mwanasiasa wa upinzani, au raia wao.
..juzi Trump aliposhambuliwa kuna viongozi wa Secret Service chombo cha serikali kinachohusika na ulinzi wa viongozi wamepoteza kazi zao.
..Hapa Tanzania viongozi wa walinzi wa serikali ktk eneo aliposhambuliwa Tundu Lissu hawakuchukuliwa hatua zozote kwa uzembe uliotokea.
Mkuu rudi usome ili usimame kwenye ukweli- wanadukua kila mtu huko USA
Sijui kwa nini una ubishi wa kijinga- sawa soma hii..tuonyeshe ni mwanasiasa gani alidukuliwa na FBI / CIA halafu serikali ikasema kwamba kitendo hicho ni sahihi.
What is domestic surveillance in the US?..tuonyeshe ni mwanasiasa gani alidukuliwa na FBI / CIA halafu serikali ikasema kwamba kitendo hicho ni sahihi.