Nchi inapaswa kujua Lissu alikuwa anawasiliana na nani na maudhui ya mawasiliano yalikuwa yapi

Walivyomdukua Angela Markel, vviongozi wote wa ulaya ilikuwa,kisheria.
Do you remember nini kilitokea after that? Kuliibuka mgogoto mkubwa ,Uhusiano uliyumba mno between us na ujerumani. Ujerumani walipoteza trust almost wafunge ubalozi wa US kama si EU kuingilia kati

To date ujerumani hawasmini US kama zamani, ni ni baada ya ed snowden kuvujisha habari hizo
Ilikuwa kinyume na sheria, japokuwa serikali ya mareka i ilimuangushia ed snowden jumba bovu
 
Walivyomdukua Angela Markel, vviongozi wote wa ulaya ilikuwa,kisheria.
Haikuwa kisheria, ilikuwa kinyume na sheria na ilifanyika kisiri.
Ndio maana ulizuka mgogoro mkubwa between us na germany, almost wafunge balozi zao. Eu waliingilia kati na kusawazisha

Yes serikali za wenzetu zina uwezo huo , wanaweza fanya legaly, ikiwemo muhusika kupewa taarifa, akiwa na kesi juu. Au kisiri (hii ni kinyume na sheria) , wahusika wasijue, ila wakijuw ni msala mkubwa mno
 
Ndio uko sawa 100%. Ila unafikiri udukuzi uliisha? Umeongezeka. Ili kuwa big power duniani inabidi uwe na taarifa zote za dunia nzima na viongozi wao wanavyofikiri kila siku, wiki,mwezi mwaka.
 
Ushauri wa kijinga sana. Hiyo habari ya TIGO umeiptoa kwenye biblia?
Mkuu- soma the USA patriotic act- this is an act of congress haiseni tofautina hizo article
 
..serikali ya Tanzania ikawasaidie Tigo ktk kesi huko Uingereza kwa kutoa uthibitisho kwamba kulikuwa na ORDER YA MAHAKAMA kumfuatilia.
Sikiliza- tulichosoma kwenye the Guardian ni submission ya wakili siyo uamuzi wa mahakama; subiri upande mwingine waje na hukumu itoke
 
Ni kwamba, mnajisumbua bure kuwaza, kuandika ama kucomment juu ya jambo hili.

Inafahamika wazi kuwa Serikali inahusika na undava huo 100%+,
Sasa haiwezi kula matapishi yake.

Jambo hili lilitakiwa liibuliwe Serikali ya Ccm ikiwa haipo madarakani, ili wahusika wote waliotekeleza jambo hilo kwa mawazo ama kwa vitendo wawajibishwe.

Na kama watakuwa walishatangulia mbele za haki makaburi yao yachapwe mboko ama skeletons zao zifukuliwe na kudhalilishwa.

Serikali ya wauaji inayonuka damu haiwezi kuhangaikia jambo ililolitenda yenyewe.
 
 
Ujinga ni tatizo kubwa sana Tanzania.

Ungejua kuwa ulichoandika ni mashudu na kinyume na Katiba yetu usingeandika huu upuuzi!
 
Kwahiyo hayo mawasiliano yakishawekwa wazi ndio yatahalalisha kumiminiwa risasi 32?

Vyovyote iwavyo kama kulikuwa na mambo hatarishi vyombo husika vya utoaji haki vipo angepelekwa huko Lissu sio kutaka kumuua.

Vipi bado hamuamini dikteta mhutu wa Chato anao uhusika kwenye hilo shambulio?
 
Ndio uko sawa 100%. Ila unafikiri udukuzi uliisha? Umeongezeka. Ili kuwa big power duniani inabidi uwe na taarifa zote za dunia nzima na viongozi wao wanavyofikiri kila siku, wiki,mwezi mwaka.
Udukuzi haukuisha, practicaly super power zote ziko in competition kila mmoja anataka kuwa one step ahead of mwenzie.

Tofauti ni kwamba kwenye legal grounds such activities hazitambuliki, na wahusika wakigundulika kuwa involved huwa ina cauee international incident.

Kwa individual anaefanyiwa anawa ku open case against gov na akashinda. Since gov wame break their own rules
 
ikionekana ilikuwa sawa kumuua tummalizie? any means ya kutoa uhai kiharamia sio haki,
 
Una
Unasahau kitu kimoja, ili kuwa super power inabidi ujue kila kitu. Ndugu zako, wenzako mataifa rafiki na upinzani. Lazima uwadukue.
 
Umeandika upumbavu mtupu. Nchi ijue mawasiliano ya Lissu ili nini? Kama alikuwa na mawasiliano ya kihalifu si angekamatwa na kupelekwa mahakamani? Watu kibao hukamatwa kwa kauli zao za kichochezi mitandaoni ilishindikana nini kwa Lissu? Awamu ya 5 ilijipaka mavi kwa tukio la Lissu kupigwa risasi. Na ile awamu jinsi ilivyokuwa imejaa upumbavu na ukatili ikakataza hata watu kumuombea Lissu. Tukio la Lissu litamtafuna mwendakuzimu even in his next life.
 
Angekua na hatia ya kudhuru Taifa asingeshambuliwa kinyang'au vile angekamatwa hadharani na police na kutiwa ndani maana alikuapo Bungeni kila kikao.

Swala la kumtrack Lissu na kumshambulia vinaambatana sana huwez kuvitenganisha kwa hoja yoyote ile.

Upumbavu ni kutetea Ujinga...🤕
 
nadhani Lissu atueleze alikuwa anawasiliana na nani na walikuwa wanaongea nini, tupime uhalali wa ujinga wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…