Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Do you remember nini kilitokea after that? Kuliibuka mgogoto mkubwa ,Uhusiano uliyumba mno between us na ujerumani. Ujerumani walipoteza trust almost wafunge ubalozi wa US kama si EU kuingilia katiWalivyomdukua Angela Markel, vviongozi wote wa ulaya ilikuwa,kisheria.
To date ujerumani hawasmini US kama zamani, ni ni baada ya ed snowden kuvujisha habari hizo
Ilikuwa kinyume na sheria, japokuwa serikali ya mareka i ilimuangushia ed snowden jumba bovu