Nchi inapoongozwa na aliyeko nyumbani, na aliyeko ofisini hajui cha kufanya

Mbona povu jingi au ww ni muingiza chaka!!?
 
Mama namkubali sana only tu hajaamua..

inatakiwa siku moja akae mahali, avunje kila kitu na kisha ateuwe watu wake yeye, siyo aliowarithi.

as for ndugai kuongea vile wakt usa ni kubwa kiuchumi na jiografia kuliko tz ina wabunge 500 tu kulinganisha na tanzania yenye wabunge 400, nadhani huko mbeleni bora kuwe japo na wabunge 200 ili fedha ya kulipa wabunge 200 kila mwezi ikajenge shule na zahanati moja kila mwezi.
 
Mkuu Salama
Bandiko Lako Nimelisoma Vema
Members Wengi Walikuwa Wanakukubali Hasa Ulipotoa Unabii Wako Tukajionea Wenyewe





Sasa Umerudi Tena Kwa Hour Of Testimonial
Ila Ungeweka Mambo Hadharani Umesema 2024
Utatoa Uelekeo Wa Nchi Ila Itakuwa Tunakwenda Kwenye General Election


Kaza Moyo Tupe Uelekeo SASA Hivi
 

Nilipoona ni ww imebidi nisome vizuri huu uzi, japo umetumia lugha ya code. Nimependa hapo uliposema 2024 utatoa mwelekeo. Nashauri uutoe sasa maana huna guarantee na Mungu, ama hiyo 2024 utakuwa umeshaona mwelekeo kisha ndio utembelee humo humo. Fanya kama ule wa Tanzania kutawaliwa kidictator kuanzia 2015, maana ulitabiri miaka mitatu kabla.
 
Mwamba Karudi
 

Zito Kabwe sio mpinzani, na wapinzani Wa kweli mliwapora uchaguzi ili wasiwemo bungeni, kishaMagufuli ajiongezee muda wa kukaa madarakani bila kuhojiwa.
 
Aise huenda humjui vizuri mtoa mada.

Kabla hujatoa comment kama hii jitahidi umfuatilie huyu mtoa mada .

Mwamba alitoa utabiri 2012 ukatukia, siyo wa kumchezea, kwa uzi ule na yaliyokuja kutukia, sina shaka na andiko lake hili. Ni sawa na member anaitwa TUMIA AKILI. Hawa ni watu hatari sana.

Unfeighned I respect these two people.


!!
 
Ungesubir basi 2024
 
Unataka kusema Samia alitakiwa apige CHINI wote wa awamu ya 5?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…