Nchi inapoongozwa na aliyeko nyumbani, na aliyeko ofisini hajui cha kufanya

Pumba
 
ameandika hotuba ya kuuchamba muhimili wa nchi... Ninalisubiri bunge la kwa hamu... Kwa mara ya kwanza tunaweza tukawa na Serikali isiyo na support bungeni[/QUOTE]

Haujui hata utakalo. Unaishia kuandika "unasubiri bunge la kwa". Ukweli wakisuguana bila chuki ndiyo maendeleo yanapatikana. Kuliko kudhani watu kuwa wachache ndiyo maamuzi mabovu. Wengi wetu uelewa mdogo zaidi ni ushabiki. Maelezo ya Rais yanajitosheleza isipokuwa kwa empty head.
 
Ukiona mtu anapenda sana habari za ushoga hata kama Watu wanajadili kupaa kwa deni la Taifa
 
ID zinawavuruga ukija jua huyo ni Lipumba, au Zito au Nape utasemaje wakati mnawatukana wakati wote. Jifunze kujua hoja si ID!
 
 
Aisee Mungu atujalie uzima panapo majaliwa hiyo 2024 tuone unabii wako mkuu.....
 
Ni kweli kwamba Samia alishauriwa vibaya kuwatoa mawaziri waliokuwa hawalali kufanya kazi masaa 24 ili kuhakikisha miradi ya kimkakati isiishe kama ilivyopangwa,,, Mpaka leo hakuna anayejua sababu ya kumuondoa Kalemani,, waliomshauri lengo lao ni kuufungua mlango wa upigaji kwenye hiyo wizara kama kawaida yao,,,Chamriho alichupalia SGR ianze majaribio December hii leo tunaambiwa LABDA April mwakani na huko Rufiji changa la macho linasema CRANE,, CRANE for gods sake crane kweli??? Kalemani aliahidi na kutuhakikishia vijiji 2000 vilivyosalia kupata umeme ni mpaka December 2022 lkn leo hawalizungumzii hilo kabisa,,,,Hivi kweli watanzania ni wajinga kiasi gani kukubali ati January Makamba kweli awe waziri wa Nishati???? January kaletwa hapo kwa kazi maalumu,,,Poleni sana
Wananchi tunataka miradi yote iishe watanzania hatujali kama mawaziri wote watatoka mkoa wa Simiyu tunajali huduma natokea Nanyumbu ambako hata Samia hajui kama ni Tanzania au nchi jirani lkn Kalemani alikuja kukugua njia za miundombinu ya umeme,,,,
 
Katika vitu huyu Maza tozo alibugi moja ni kumtoa kalemani. Mbili kumwingiza makamba kwenye eneo nyeti . Narudia eneo nyeti Kwa nchi yetu .
 
Kwani opposition bado wanazo agenda za maendeleo za kitaifa ? Wao nibkatiba mpya. Miradi mikakati, rushwa kwao si agenda tena
 
Magamba Matatu

Kwa nilichokisoma kwako una mahaba na Team EL pamoja na team Magu

Kiufupi mabadiliko ya sasa umeyachukia naamini tutapata majibu muda si mrefu
Hii inanifanya nipate wasiwasi wa yule niliyekuwa namdhania kuwa ndiye magamba matatu, yani hapa kanipoteza kabisa.
 
Ahsante sana mkuu kwa bandiko hili fupi tayati umetupa mwangaza na picha fulani ambayo inawezekana wengi wetu hatukuwa na fununu nayo.


ubarikiwe na tunaomba usisite kutupa update kwa haya yanayoendelea.
 
Wakwe gani ndugu yangu, nipo jirani kabisa na nyumbani kwao mama mkapa, wala hamna cha sana unachoweza kusema wamepata kutoka kwake.

Vipi kwa lile daraja la Busisi si lilikua linaenda kwa wakwe wa fulani.

Turudi kwenye mada bro.
Daraja la Busisi linaunganisha Mwanza, Sengerema, Geita, Bukoba hadi Uganda. Lina economic rewards nyingi zaidi ya daraja la Mkapa ila watu wa aina yako mnataka kupindisha facts kwa interest zenu binafsi kuonyesha chuki dhidi ya Magufuli alilyeidhisha lijengwe.
 
Inaonekana mkuu unapenda sana ushoga, tunajadili mambo ya msingi wewe umekomaa tu na ushoga!
 
Kama dalili au hisia za hiki unachokisema zipo basi nathibitisha kuwa ccm imekuwa injini chakavu na haifai tena kwa safari kuelekea Tanzania tunayoitaka!
Yaani 2015 na 2020 mlipanga safu zenu nyie wenyewe lakini sasa mnaparaganyika kama vile hamfahamiani wala hamjakaa vikao!!
Hivi hamkujua kuwa mtu anayependekezwa kuwa makamu wa rais ni rais mtarajiwa?? So mlikuwa hamkuwahi kumuamini?? Mlipataje pataje??
Je, hao walioko nje ya ofisi mnaowasema kuwa wanaiongoza nchi ni wapinzani wa ccm?? Je, hamna vikao??
Je, mnataendelea kuishi kwenye kivuli cha marehemu hadi lini??

Yaani nyie ccm mnabahati upinzani na wananchi wa nchi hii hawana maono...
 
Wewe ni mjinga tu na huna lolote!

Eti Samia ndo kamtoa Polepole! Unajifanya mjuaji kumbe mjinga na huna lolote! Polepole kateuliwa Mbunge na Marehemu sasa unamsingizia Samia ili iweje?

Kwa maandiko yako umeshajionesha kuwa ni mtu uliyejaa ukabila na it’s obvious kama mtu uliyefunikwa na ukabila huwezi kuendana na Samia. Nani kakwambia kuwa Rais wa nchi hii anaamuliwa na mikoa ya kanda ya ziwa? Unajua Tanzania ina watu wangapi? Unajua kwenye mikoa mingine kuna watu wangapi mpuuzi wewe?

Wapi iliandikwa kuwa lazima mama aendane na magufuli? Magufuli ni Mungu? Unataka mama aendelee kuteka watu? Kuua watu? Kutesa watu? Wewe ni mjinga sana

Mwinyi hakwenda sawa na Nyerere, Mkapa hakwenda sawa na Mwinyi, Kikwete hakwenda sawa na Magufuli na Magufuli hakwenda sawa na Kikwete. Unataka Samia aende sawa na Magufuli ili iweje?

Unaongelea timu lowassa ipi iliyokwenda sawa na Magufuli? Magufuli alielewana na Nazir Karamagi? Alielewana na Tanil Somaiya? Alielewana na Sofia Simba?

Kwa kifupi Magufuli mwenyewe hakufaa kuwa Rais, kwa proper vetting hakutakiwa kuwa Rais kwa matendo yake ya kuwawinda Hadi viongozi wa dini Kama Askofu niwemugizi, mwingira na wengineo ndo hakufaaa kabisa na Ndo mana Mungu alifanya yake mapema!
 
Sukuma gang mnatoka makaburini.... Fanyeni kazi.
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] kichwa kimekuwa kabati la meno maana mashudu tupu umetoa!!
 
Langu jicho, naombea nchi yangu good transition ila kwa yanayoendelea kwa sasa ni as if hatuna Rais, Yani watu wa chini Wana mpinga hadharani
Bora upingwe hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…