Nchi inapoongozwa na aliyeko nyumbani, na aliyeko ofisini hajui cha kufanya

hata alipoutoa ule uzi wake, wengi walimshambulia na kuwa hawamuelewi..

ngoja muda ufike na upite, ndio utamwelewa
Ujumbe wake nimeuelewa, Kuna mtu huwa ninadhani ndiye magamba matatu, kwa uandishi wa leo, nimdhaniaye ndiye kumbe siye.
 
Hata mm hili nililiona toka zamani.....maana hatuoni kama wakristo wanatuandaa vijana.....juma aweso kakoso ......ni nani sasa mwenye moto kama wa magu?
 
Huyo unayesema anaongoza nchi akiwa nyumbani ndiye aliyesema nchi itatawaliwa kidikiteta, wewe ulimkariri tu.
 
Nadhani utakuwa mabaki yaliyofufuka ya sodoma na gomora.
 
Mkuu, kuna makosa mengine mengi tu ambayo mama amepotoshwa na hakutumia washauri wake uzuri.

Team Msoga si watu wazuri na hawana nia njema na nchi hii na ni hawa ndo walokuwa nyuma ya matukio yote ya kutaka kuwachonganisha JPM na wananchi na nje kwenye foreign policy (sensitive information leaks).

Kosa alilofanya JPM ni kuruhusu serikali yake kunyamazia matukio yale.

Raisi Samia alikuwa VP na aliona uteuzi wake JPM na alifahamu umuhimu wa teuzi zilizofanyika na alifahamu JPM aliteua watu makini kwenye nafasi nyeti Nishati, Madini na Ujenzi.

Team Msoga ikamwahi akavuruga akamtoa Kalemani, Chamuriho lakini mazee wakamwambia kwa Biteko hapana ila pawe na mgawanyo wa majukumu.

Lakini mgawanyo wa majukumu haimaanishi kitalu C kivamiwe.

Sasa Tanesco imeharibiwa na umeme umekuwa shida na kule ujenzi miradi mikubwa inayumba na ilipaswa kumalizwa by December.

JPM alikuwa mjanja pia kwa kuhakikisha miradi yote imefungwa kimkataba na hata nikasema kule mwanzo kwamba ndege zote zilikwishalipiwa ila wengi hawakuelewa.

Hata suala la Mbowe mama amekuwa mislead na bila kung'amua na hadi aja kugundua juzi ni too late.

Ila raisi ajae kama ilivyopangwa ni yule ambae JPM alimtaka awali awe VP wake.

Mzee Mwinyi alisema kwa busara kabisa walofanya yeye na wenzake (BWM na JK) kwa miaka 30 JPM kayafanya kwa miaka michache tu.

Mimi pia nasoma hali inavyokwenda na kuna shida mbele.
 
Nakuona mwezi wa kwanza unavyoutetea ugali!

Wewe ndo mjinga, tunataka miradi ya umeme ikamilike jinga wewe
 
ameandika hotuba ya kuuchamba muhimili wa nchi... Ninalisubiri bunge la kwa hamu... Kwa mara ya kwanza tunaweza tukawa na Serikali isiyo na support bungeni

Haujui hata utakalo. Unaishia kuandika "unasubiri bunge la kwa". Ukweli wakisuguana bila chuki ndiyo maendeleo yanapatikana. Kuliko kudhani watu kuwa wachache ndiyo maamuzi mabovu. Wengi wetu uelewa mdogo zaidi ni ushabiki. Maelezo ya Rais yanajitosheleza isipokuwa kwa empty head.
[/QUOTE]
Na ww unatokea mchambawima ama kibandamaiti!!..?
 
ameandika hotuba ya kuuchamba muhimili wa nchi... Ninalisubiri bunge la kwa hamu... Kwa mara ya kwanza tunaweza tukawa na Serikali isiyo na support bungeni
Na ww unatokea mchambawima ama kibandamaiti!!?
 
Huyo mtu nimefatilia maandiko yake btn the line , ana Chuki tu na Mama , pia mategemeo yao kwa Mama yamepotea, pia inaonekana ni mtu wa Sukuma Gang aliyekuwa amejificha

Just imagine tokea 2012 amejificha kaibuka hivi karibuni baada ya wao kundi lao kuanza kusambaratishwa
 
rasmi huu ndo mwisho mwisho wa enzi wa ccm, kama huamini tukutane 2025 panapomajaliwa.
Huu ni ungo ccm ni wataalamu wawizi wa kura na kupanga Matokea labda tuambie ni mbinu gani mbadala na kura nakama ipo kwani isitumike Leo badala 2025
 
Inaonekana mkuu unapenda sana ushoga, tunajadili mambo ya msingi wewe umekomaa tu na ushoga!
Kwahiyo mnaona sawa tu mzungu na yule aliefungiwa ndan waendelee kuwatetea nyinyi watoto wa kiume muolewe, afu sisi viongozi wa dini tukae kimya?
 
Ukiona mtu anapenda sana habari za ushoga hata kama Watu wanajadili kupaa kwa deni la Taifa
Kwahiyo mnaona sawa tu mzungu na yule aliefungiwa waendelee kuwatetea nyinyi watoto wa kiume muolewe afu sisi viongozi wa dini tukae kimya?
 
Wabongo mnamaujinga yasiyohesabika!

Wewe ni miongoni mwao na unayemtetea!

Watu wanaongelea mambo mapana ya kitaifa halafu wewe unaleta sukuma gang hapa!

Jinga ksbisa
 
Nadhani utakuwa mabaki yaliyofufuka ya sodoma na gomora.
Kwahiyo mnaona sawa tu mzungu na yule aliefungiwa waendelee kuwatetea nyinyi watoto wa kiume muolewe afu sisi viongozi wa dini tukae kimya?
 
Aisee
 
Ideological yake, dada punguza broken language

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Samia hakuna kitu pale, tuna poteza muda na kujadili empty set , tuna matarajio makubwa kutokwa kwa wrong person at a wrong time, hebu mwacheni mama apumzike, hakuna anachoweza fanya, hili ni GOAL!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Naamini currently Kikwete hana lolote Samia ndo mwamuzi wa kila kitu wao wanapendekeza yeye anaamua kupitisha au anakataa currently She is supperior to everybody else in TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…