Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Lissu hajamwacha mtu salama, hata ukurupukaji umepunguaSidhani kama ni Afya sana/ ni Sifa mno kwa Baraza la Mawaziri (Cabinet) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu hajamwacha mtu salama, hata ukurupukaji umepunguaSidhani kama ni Afya sana/ ni Sifa mno kwa Baraza la Mawaziri (Cabinet) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Unalihitaji lingine?😡😡😡😡😡 imagine haya ndio majibu ya viongozi wetu!!!!
Hivi makatibu wakuu wapo tayari maofisini kila wizara?Hao Mawaziri wamekutuma uwasemee ili wateuliwe haraka au? kwanza hakuna umuhimu wa wao kuwepo mbona Makatibu Wakuu wanatosha tu, hawana la maana hao zaidi ya matumbo yao ngoja hela za Mishahara yao ya miezi kadhaa ambayo wangelipwa zifanye kazi za maendeleo
Hili nakubaliana nawe 100% pia amegundua yale alivyokuwa akiyafanya na maneno yake kwenye ziara zake watu hawafagilii wala nini. Kiufupi uchaguzi huu umempa taswira rasmi ya anachukulikaje mtaani. Kimyaaa.....Lissu hajamwacha mtu salama, hata ukurupukaji umepungua
Bora tukae bila Mawaziri,
Hata wakiteuliwa huwa wapo Kama pazia,hakuna kinachofanyika zaidi ya kusubili maamuzi kutoka kwa aliyewateua.
Qliye wateua ndiyo kila kitu.
Watu hawatakuelewaHili nakubaliana nawe 100% pia amegundua yale alivyokuwa akiyafanya na maneno yake kwenye ziara zake watu hawafagilii wala nini. Kiufupi uchaguzi huu umempa taswira rasmi ya anachukulikaje mtaani. Kimyaaa.....
Ila ndio ukweli mkuuWatu hawatakuelewa
kwani mmeambiwa kua kinacho chelewesha baraza la mawaziri ni rais kushindwa kuteua?Kama ulishazunguka nchi nzima na Kuwanadi huku ukiwaomba Watu wakuchagulie na wakakuchagulia kwanini leo upate shida Kuteua wanaofaa?
Sasa hivi makusanyo yanategemea hizo KODI ZA KERO, atarekebishaje hili wakati uchumi uko vibaya na serikali inahitaji mapato?Mawaziri wanatakiwa waje na style mpya ya kuongoza...wabuni mikakati na mipango kwa kufuata dira za maendeleo zilizopo..Ilani ya chama na uelekeo wa Dunia.
Waziri wa Kilimo kwa mfano aangalie mazao gani ya kulima mkoa upi...changamoto na namna ya kuzitatua na kuimarisha mfumo wa kilimo hicho...Waziri wa Fedha aondoe kero za kodi..kuimarisha shilingi na uchumi jumuishi...Dhidi ya uchumi holela wa kila mtu kuuza kokote chochote...
Bahati mbaya sana wanaweza kuja na style ya matamko na kutumbua bila kuona athari zake matokeo yake anaoenea watu kwa chuki tu..na yeye akiondolewa basi anabaki kama Wengine.
Mmebaki kuwa watu wa majungumajungu tuuu hamna kazi za kufanya?? Kwani kuna kitu kimekwama kiserikali.Mawaziri ni policy makers unawataka kwenye utendaji wafanye nini.Third line of defence haihitajiki haraka kiiiiiivo.Hivi kwa akili yako unadhani Lissu has added any good value.Mwenye akili timamu hawezi ku borrow wazo kwa Lissu. Alikuja na sera yake ya majimbo hata siku 30 hazijapita tayari kuna nchi inayofuata mfumo wa majimbo imeshakipata cha moto.Hakuna cha jifunza kutoka kwa Lissu labda kama unataka kusababisha majanga.Tupa kule sera za Lissu.Sasa hivi nchi inakwenda vizuri tu, Permanent Secretaries are properly running the show. Kaeni na majungumajungu yenu ya kitotokitotooooooooHili nakubaliana nawe 100% pia amegundua yale alivyokuwa akiyafanya na maneno yake kwenye ziara zake watu hawafagilii wala nini. Kiufupi uchaguzi huu umempa taswira rasmi ya anachukulikaje mtaani. Kimyaaa.....
Ngoja tuweke hivi-Kuna mteuzi na kuna idadi kubwa ya watu wanaosubiri kuteuliwa (wengine wakiwa wameshawahi kuteuliwa).Je wanaosubiri kuteuliwa wana hali gani?Je anayeteua anajua wanaosubiri wana hali gani?Kama anajua wana hali gani kwa nini hateui?Sidhani kama ni Afya sana/ ni Sifa mno kwa Baraza la Mawaziri (Cabinet) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Kwani nani aliwaambia watateuliwa??? safari wataisoma namba. Makatibu wakuuu wapo kazi zinakwenda ipasavyo.Hakuna sheria inayomlazimisha rais kuteua harakaharaka; ni waziri mkuu peke yake ndiyo kawekewa utaratibu wa muda.Wengine watapata taabu sanaNgoja tuweke hivi-Kuna mteuzi na kuna idadi kubwa ya watu wanaosubiri kuteuliwa (wengine wakiwa wameshawahi kuteuliwa).Je wanaosubiri kuteuliwa wana hali gani?Je anayeteua anajua wanaosubiri wana hali gani?Kama anajua wana hali gani kwa nini hateui?
katika dunia kuna watu wanafurahia wakiwaona wenzao wapo nervous (hasa madaktari,unauguliwa ukimuuliza anakwambia subiri kwanza,anaongea na nesi anapiga simu kule).
Kazi kwao wanaosubiri kuteuliwa na kasema labda January!!
Hivi mkuu katika chagizo langu nimemuongelea Lissu? Nilidhani ungejibu (kubaliana/kukataa) nilichochangia lakini umekuwa biased Sana. Yaani ndio wale wao wakiingia JF tu kazi yao ni kupinga na kumponda yeyote mwenye mawazo tofauti na serikali. Kua bhasMmebaki kuwa watu wa majungumajungu tuuu hamna kazi za kufanya?? Kwani kuna kitu kimekwama kiserikali.Mawaziri ni policy makers unawataka kwenye utendaji wafanye nini.Third line of defence haihitajiki haraka kiiiiiivo.Hivi kwa akili yako unadhani Lissu has added any good value.Mwenye akili timamu hawezi ku borrow wazo kwa Lissu. Alikuja na sera yake ya majimbo hata siku 30 hazijapita tayari kuna nchi inayofuata mfumo wa majimbo imeshakipata cha moto.Hakuna cha jifunza kutoka kwa Lissu labda kama unataka kusababisha majanga.Tupa kule sera za Lissu.Sasa hivi nchi inakwenda vizuri tu, Permanent Secretaries are properly running the show. Kaeni na majungumajungu yenu ya kitotokitotoooooooo
Kwahiyo mnamalizana nae Kwanza 'bedroom' kisha ndipo alitangaze au?kwani mmeambiwa kua kinacho chelewesha baraza la mawaziri ni rais kushindwa kuteua?