Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

Sidhani kama ni Afya sana/ ni Sifa mno kwa Baraza la Mawaziri (Cabinet) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Lissu hajamwacha mtu salama, hata ukurupukaji umepungua
 
Hao Mawaziri wamekutuma uwasemee ili wateuliwe haraka au? kwanza hakuna umuhimu wa wao kuwepo mbona Makatibu Wakuu wanatosha tu, hawana la maana hao zaidi ya matumbo yao ngoja hela za Mishahara yao ya miezi kadhaa ambayo wangelipwa zifanye kazi za maendeleo
Hivi makatibu wakuu wapo tayari maofisini kila wizara?
 
Lissu hajamwacha mtu salama, hata ukurupukaji umepungua
Hili nakubaliana nawe 100% pia amegundua yale alivyokuwa akiyafanya na maneno yake kwenye ziara zake watu hawafagilii wala nini. Kiufupi uchaguzi huu umempa taswira rasmi ya anachukulikaje mtaani. Kimyaaa.....
 
Hili nalo neno mkuu... One man show😊
Bora tukae bila Mawaziri,
Hata wakiteuliwa huwa wapo Kama pazia,hakuna kinachofanyika zaidi ya kusubili maamuzi kutoka kwa aliyewateua.
Qliye wateua ndiyo kila kitu.
 
Hili nakubaliana nawe 100% pia amegundua yale alivyokuwa akiyafanya na maneno yake kwenye ziara zake watu hawafagilii wala nini. Kiufupi uchaguzi huu umempa taswira rasmi ya anachukulikaje mtaani. Kimyaaa.....
Watu hawatakuelewa
 
Wacha tukae bila baraza la mawaziri kwani ni mzigo kwa wananchi.Makatibu wakuu wapo watatekeleza majukumu yao ipasavyo.Mlirig uchaguzi ili muwe mawaziri.Pambaneni na hali zenu hakuna cha mawaziri safari hii.subirini ndiyooooo bungeni.
 
Kama ulishazunguka nchi nzima na Kuwanadi huku ukiwaomba Watu wakuchagulie na wakakuchagulia kwanini leo upate shida Kuteua wanaofaa?
kwani mmeambiwa kua kinacho chelewesha baraza la mawaziri ni rais kushindwa kuteua?
 
Mawaziri wanatakiwa waje na style mpya ya kuongoza...wabuni mikakati na mipango kwa kufuata dira za maendeleo zilizopo..Ilani ya chama na uelekeo wa Dunia.

Waziri wa Kilimo kwa mfano aangalie mazao gani ya kulima mkoa upi...changamoto na namna ya kuzitatua na kuimarisha mfumo wa kilimo hicho...Waziri wa Fedha aondoe kero za kodi..kuimarisha shilingi na uchumi jumuishi...Dhidi ya uchumi holela wa kila mtu kuuza kokote chochote...

Bahati mbaya sana wanaweza kuja na style ya matamko na kutumbua bila kuona athari zake matokeo yake anaoenea watu kwa chuki tu..na yeye akiondolewa basi anabaki kama Wengine.
Sasa hivi makusanyo yanategemea hizo KODI ZA KERO, atarekebishaje hili wakati uchumi uko vibaya na serikali inahitaji mapato?
 
Hili nakubaliana nawe 100% pia amegundua yale alivyokuwa akiyafanya na maneno yake kwenye ziara zake watu hawafagilii wala nini. Kiufupi uchaguzi huu umempa taswira rasmi ya anachukulikaje mtaani. Kimyaaa.....
Mmebaki kuwa watu wa majungumajungu tuuu hamna kazi za kufanya?? Kwani kuna kitu kimekwama kiserikali.Mawaziri ni policy makers unawataka kwenye utendaji wafanye nini.Third line of defence haihitajiki haraka kiiiiiivo.Hivi kwa akili yako unadhani Lissu has added any good value.Mwenye akili timamu hawezi ku borrow wazo kwa Lissu. Alikuja na sera yake ya majimbo hata siku 30 hazijapita tayari kuna nchi inayofuata mfumo wa majimbo imeshakipata cha moto.Hakuna cha jifunza kutoka kwa Lissu labda kama unataka kusababisha majanga.Tupa kule sera za Lissu.Sasa hivi nchi inakwenda vizuri tu, Permanent Secretaries are properly running the show. Kaeni na majungumajungu yenu ya kitotokitotoooooooo
 
Sidhani kama ni Afya sana/ ni Sifa mno kwa Baraza la Mawaziri (Cabinet) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Ngoja tuweke hivi-Kuna mteuzi na kuna idadi kubwa ya watu wanaosubiri kuteuliwa (wengine wakiwa wameshawahi kuteuliwa).Je wanaosubiri kuteuliwa wana hali gani?Je anayeteua anajua wanaosubiri wana hali gani?Kama anajua wana hali gani kwa nini hateui?
katika dunia kuna watu wanafurahia wakiwaona wenzao wapo nervous (hasa madaktari,unauguliwa ukimuuliza anakwambia subiri kwanza,anaongea na nesi anapiga simu kule).
Kazi kwao wanaosubiri kuteuliwa na kasema labda January!!
 
Kwani nani aliwaambia watateuliwa??? safari wataisoma namba. Makatibu wakuuu wapo kazi zinakwenda ipasavyo.Hakuna sheria inayomlazimisha rais kuteua harakaharaka; ni waziri mkuu peke yake ndiyo kawekewa utaratibu wa muda.Wengine watapata taabu sana
 
ma KM wanachapa kazi wao ndio maafisa masuuli wa wizara.
usitupangie cha kufanya
 
Mmebaki kuwa watu wa majungumajungu tuuu hamna kazi za kufanya?? Kwani kuna kitu kimekwama kiserikali.Mawaziri ni policy makers unawataka kwenye utendaji wafanye nini.Third line of defence haihitajiki haraka kiiiiiivo.Hivi kwa akili yako unadhani Lissu has added any good value.Mwenye akili timamu hawezi ku borrow wazo kwa Lissu. Alikuja na sera yake ya majimbo hata siku 30 hazijapita tayari kuna nchi inayofuata mfumo wa majimbo imeshakipata cha moto.Hakuna cha jifunza kutoka kwa Lissu labda kama unataka kusababisha majanga.Tupa kule sera za Lissu.Sasa hivi nchi inakwenda vizuri tu, Permanent Secretaries are properly running the show. Kaeni na majungumajungu yenu ya kitotokitotoooooooo
Hivi mkuu katika chagizo langu nimemuongelea Lissu? Nilidhani ungejibu (kubaliana/kukataa) nilichochangia lakini umekuwa biased Sana. Yaani ndio wale wao wakiingia JF tu kazi yao ni kupinga na kumponda yeyote mwenye mawazo tofauti na serikali. Kua bhas
 
Vyama viitishe press kudai Baraza la Mawaziri. Hili baraza la rais na Mawaziri wawili tena wa fedha na mambo ya nje linaweza kugeuka kuwa timu ya ufujaji.

Tusimuamini mwanasiasa.

Rais anataka kutuletea Mambo kama ya Mbowe ya kuwa na Kamati ndogo ya Kamati Kuu. Uzoefu kupitia kwa Mbowe umedhihirisha kamati ndogo huwa inaharibu na inaleta utengano katika uongozi kwa wengine kujiona daraja la kwanza.

Hatutaki Baraza dogo la Baraza la Mawaziri tunataka Baraza Kamili la mawaziri.
 
Back
Top Bottom