Vyama vipi unavyoviongelea. Wapinzani walikuwanachelewesha maendeleo wakati wao sasa wa kupumzika na kukaa kimya tuache nchi ikiongozwa vile wananchi tunaona wanataka.
Umeandika utumbo mtupu, baraza la mawaziri linamsaada gani kwenye zaidi ya kuongeza gharama kwa wananchi?Vyama viitishe press kudai Baraza la Mawaziri. Hili baraza la rais na Mawaziri wawili tena wa fedha na mambo ya nje linaweza kugeuka kuwa timu ya ufujaji....
Hata mimi naunga mkono hoja maana baraza halina manufaa yoyote kwa taifaHukusikia wakati anawaapisha alisema miezi mitatu minne hivi.. naye ndiye mfalme apingweje tena
Makatibu ni watu muhimu sana Ndio maana hata wakati wa kampeni huwezi kuwaona wamevaa nguo za CCM. Ni wataalam sio wanasiasa kama mawaziri.Makatibu wakuu ndiyo kila kitu, hao mawaziri wao kuzurula ndiyo shughuli wanayoiweza. Per diem!
Everyday is Saturday...😎
Kazi kweli kwelSidhani kama ni Afya sana/ ni Sifa mno kwa Baraza la Mawaziri (Cabinet) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Mkuu,Sidhani kama ni Afya sana/ ni Sifa mno kwa Baraza la Mawaziri (Cabinet) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Mkuu hua sikuelewi wewe ni sisiem auuu?!Kama ulishazunguka nchi nzima na Kuwanadi huku ukiwaomba Watu wakuchagulie na wakakuchagulia kwanini leo upate shida Kuteua wanaofaa?
Tuwaache ccm watuongoze vile wao wapendavyo ili 2025 ikifika tuwaulize mbona kile hakikufanikiwa kama mlivyoahidi ? Na tuone majibu yao.Ila kwa kipindi chote tangu tupate uhuru kwa madai yao wanasema wapinzani wametuchelewasha kupata maendeleoMtu aliyeagiza wizi wa kura anawezaje kuongoza kwa uadilifu?
Tuwaache ccm watuongoze vile wao wapendavyo ili 2025 ikifika tuwaulize mbona kile hakikufanikiwa kama mlivyoahidi ? Na tuone majibu yao.Ila kwa kipindi chote tangu tupate uhuru kwa madai yao wanasema wapinzani wametuchelewasha kupata maendeleo
Hivyo vyama unavyotaka viitishe press ni vyama vipi?Vyama viitishe press kudai Baraza la Mawaziri. Hili baraza la rais na Mawaziri wawili tena wa fedha na mambo ya nje linaweza kugeuka kuwa timu ya ufujaji.
Tusimuamini mwanasiasa.
Rais anataka kutuletea Mambo kama ya Mbowe ya kuwa na Kamati ndogo ya Kamati Kuu. Uzoefu kupitia kwa Mbowe umedhihirisha kamati ndogo huwa inaharibu na inaleta utengano katika uongozi kwa wengine kujiona daraja la kwanza.
Hatutaki Baraza dogo la Baraza la Mawaziri tunataka Baraza Kamili la mawaziri.
Leo nasema mara ya mwisho Kwako na kwa wengine kuwa GENTAMYCINE ni 100% CCM ila wakikosea tu ninao. Kuna Uzi unakuja namsema JPM.Mkuu hua sikuelewi wewe ni sisiem auuu?!
[emoji1787] katiba inamfata yete.Hivi Magufuli anafuataga katiba kweli?
Tangu lini?