Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

Vyama vipi unavyoviongelea. Wapinzani walikuwanachelewesha maendeleo wakati wao sasa wa kupumzika na kukaa kimya tuache nchi ikiongozwa vile wananchi tunaona wanataka.

Mtu aliyeagiza wizi wa kura anawezaje kuongoza kwa uadilifu?
 
Kujifanya kuwa una Rais ni kujidanganya tu ila kuna siku utaelewa! Hakuna cha baraza la mawaziri wala mama yake baraza la mawaziri. Kwani baraza la mawaziri ni kipaumbele cha madikteta?
 
Vyama viitishe press kudai Baraza la Mawaziri. Hili baraza la rais na Mawaziri wawili tena wa fedha na mambo ya nje linaweza kugeuka kuwa timu ya ufujaji....
Umeandika utumbo mtupu, baraza la mawaziri linamsaada gani kwenye zaidi ya kuongeza gharama kwa wananchi?
 
Watendaji wakuu na muhimu ni makatibu wakuu hao ndio wataalam wenye kutekeleza sera.

Mawaziri ni ceremonial tu nchi inaweza kwenda pasipo uwepo wao.

Rais anapiga kazi na makatibu akishirikiana na wakurugenzi wa mamlaka mbalimbali.
 
Makatibu wakuu ndiyo kila kitu, hao mawaziri wao kuzurula ndiyo shughuli wanayoiweza. Per diem!

Everyday is Saturday...😎
Makatibu ni watu muhimu sana Ndio maana hata wakati wa kampeni huwezi kuwaona wamevaa nguo za CCM. Ni wataalam sio wanasiasa kama mawaziri.
 
MITANO TENA KWA SASA HAKUNA MKWANJA
SI UNAJUA TUMETOKA KUIBA KURA KWA KUTUMIA MAPESA MENGI, HIVYO TUNAJIPANGA MKUU
 
Nchi kama Israel na Germany ambazo mara nyingi baada ya matokeo ya chaguzi zao unakuta hakuna chama chenye majority ya kuunda serikali. Ili kuwe na serikali inabidi vyama viwili au vitatu viungane, majadiliano yenyewe yanaweza chukua miezi.

At extreme Israel kunaweza kuwa na impasse kabisa inabidi uchaguzi wenyewe urudiwe baada ya miezi 6 ya majadiliano kugonga mwamba.

Muda wote huo nchi inaendeshwa na technocrats na wala hakuna shida yeyote; bear in mind Israel is a conflict zone. Iweje technocrats wakitanzania washindwe kuongoza nchi miezi miwili tu bila ya mawaziri (I see it as an acid test kwa makatibu wakuu).

Ila it’s about time ya kuteua maana hawa technocrats wetu nao shida (madhara yanaanza kuonekana) Arusha shule imefungwa kisa kudaiwa kodi wakati vijana wanajiandaa kwa mitihani who does that inabidi waziri elimu aingilie kati. Hayo ndio matatizo ya kuwa na makatibu wakuu wa kuokota.
 
Sidhani kama ni Afya sana/ ni Sifa mno kwa Baraza la Mawaziri (Cabinet) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Mkuu,

Shinikizo lako ni kama kujilisha upepo bure. Timu itakayotoka ni sura mpya tu 70% hata rafiki yako wa kisiwa cha masharki usitegemee kupata nafasi hiyo. Tamisemi, mambo ndani, biashara, kilimo, ufugaji na uvuvi, uwekezaji maji, ujenzi zote hizo ni sura mpya tupu zenye pumzi la kukimbia saa sita adhuhuri bila kuchoka.
 
Mheshimiwa Rais wala asiwepo wa kukupangia endelea kuchagua watu sahihi watakaoendana na kasi na mtazamo wako wa namna unavyotaka nchi iende.
 
Mtu aliyeagiza wizi wa kura anawezaje kuongoza kwa uadilifu?
Tuwaache ccm watuongoze vile wao wapendavyo ili 2025 ikifika tuwaulize mbona kile hakikufanikiwa kama mlivyoahidi ? Na tuone majibu yao.Ila kwa kipindi chote tangu tupate uhuru kwa madai yao wanasema wapinzani wametuchelewasha kupata maendeleo
 
Tuwaache ccm watuongoze vile wao wapendavyo ili 2025 ikifika tuwaulize mbona kile hakikufanikiwa kama mlivyoahidi ? Na tuone majibu yao.Ila kwa kipindi chote tangu tupate uhuru kwa madai yao wanasema wapinzani wametuchelewasha kupata maendeleo

Mkuu unawaulizia wapi hayo maswali yako? Kama hakuna midahalo unawaulizia wapi?
 
Wanaccm wenzake pigeni kelele kuuambia uongozi wa chama chenu kiteue mawaziri haraka
 
Lazma Kuna Mambo yanakwama kutokana na Mawaziri kutokuwepo na Waziri mkuu sahz atakuwa ana kazi nyingi sana kwenye decision making ya wizara nyingi.
 
Kwani hakuna baraza la mawazili? Baraza la mawazili lipo, kuna Rais, Makamu, Waziri mkuu, Mwanasheria mkuu, Waziri wa mambo ya Nje ma Waziri wa Fedha. Hakuna mahala katiba imesema lazima baraza la mawazili liwe na wajumbe 32 Hakuna!!!! Ao waliopo wanaunda baraza pia.
 
Vyama viitishe press kudai Baraza la Mawaziri. Hili baraza la rais na Mawaziri wawili tena wa fedha na mambo ya nje linaweza kugeuka kuwa timu ya ufujaji.

Tusimuamini mwanasiasa.

Rais anataka kutuletea Mambo kama ya Mbowe ya kuwa na Kamati ndogo ya Kamati Kuu. Uzoefu kupitia kwa Mbowe umedhihirisha kamati ndogo huwa inaharibu na inaleta utengano katika uongozi kwa wengine kujiona daraja la kwanza.

Hatutaki Baraza dogo la Baraza la Mawaziri tunataka Baraza Kamili la mawaziri.
Hivyo vyama unavyotaka viitishe press ni vyama vipi?

Ni hivi vya upinzani mnavyovipiga Vita kila kukicha kuwa vinachelewesha maendeleo?

Au unaongelea vyama vya wafanyakazi,wakulima na vya michezo?
 
Back
Top Bottom