GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #101
Vipi kwa watu wa Mataifa ya Asia na Ulaya wanaotaka kwenda huko, wanawapitisha kwenye mchujo mkali kama wanavyowafanyia Waafrika?Kiufupi hawataki waafrika kwenda huko kwa wingi, wanajua watazamia