Nchi masikini haiwezi kuendelea ikiongozwa kidemokrasia

Acha utetezi fyongo tafadhali,hapo no katika kutaka kuhalaliza maovu,hata yale yaliyokwisha fanywa.
 
Acha utetezi fyongo tafadhali,hapo no katika kutaka kuhalaliza maovu,hata yale yaliyokwisha fanywa.
Tatizo tumemezeshwa kuwa kama hakuna demokrasia, kinachokuwepo ni uovu. Maovu mangapi yanafanywa na viongozi wa Kidemokrasia?

Hivi hujiulizi kwanini nchi tajiri zinatuhamasisha sana tuwe na demokrasia?
 
Tatizo tumemezeshwa kuwa kama hakuna demokrasia, kinachokuwepo ni uovu. Maovu mangapi yanafanywa na viongozi wa Kidemokrasia?

Hivi hujiulizi kwanini nchi tajiri zinatuhamasisha sana tuwe na demokrasia?
Ili angalau mfanane na binaadamu aliyestaarabika
 
Umeongea ukweli demokrasia inaleta division kama mbinu ambazo mkoloni alitumia kumtawala mtu mweusi
divide and rule
Alikuja Meko hapa katawala miaka 5 tu....
mmeimba nyimbo zote nawashauri bakini na demokrasia yenu
Kwani mkoloni alikuwa na demokrasia? Mbona alipora uchaguzi zanzibar!
 
Good unaakili sana sasa anzia nyumbani kwako! Wanyime demokrasia!

Dhalilisha mkeo,piga watoto wakikosea kidogo,wanyime haki ya kucheza/kula/kutoa mawazo/elimu nk. nyang'anya mkeo mali yoyote alonayo,jipendelee wewe na nduguzo wachache...

Ukimaliza hapo uje utuambie maendeleo mlonayo!! Kunawatu wapumbafu sana...demokrasia nayo ni sehemu ya maendeleo!

Maendeleo sio kumiliki mavitu tuu Bali maendeleo ni kuboreka kwa maisha kiujumla toka pabaya kwenda pazuri (improvement of total ways of life).
 
Ipo hivyo yani wala hakuna haja yakuanza kujadili.
============================

=>Demokrasia inatakiwa kutumiwa na nchi zilizoendelea(boom stage) kama Korea kusini vile, madarakani wanakuwa kama wanacheza game vile, wanaangalia huyu kacheza kapata point ngapi, ngoja tuone mwingine atafikisha point ngapi?.

Sasa mfumo huu sisi hautufai ili kujikwamua kunamahali yatahitajika maumuzi magumu yenye manufaa baadae ila itashindikana kwasababu utakua nje ya mipaka ya demokrasia. Kwa kuukubali huu mfumo inamaana tumekubali kua wasindikizaji.

=>Demokrasia imeigawa nchi (integrity) ya wananchi ule uzalendo wa wananchi dhidi ya nchi yao umekimbilia kwenye vyama(uCCM & uCHADEMA) kipaumbele sio nchi tena bali ni vyama.

=>Hii demokrasia sio kwamba tulipigwa(tulitapeliwa) hapana bali tulikutana na vibaka, wakatupiga roba ya mbao wakatushikia visu na bisibisi kisha wakatuambia tusaule basi tukasaula.

☕️Kama tumefeli tayari basi mbadala uliobaki ni kutengeneza katiba yetu saaaafi kabisa itakayotutetea.
 
Wewe umewahi ona nyumba inaendeshwa kidemokrasia?

Na uelewe kuwa kukosa demokrasia haimaanishi kupiga, kuua na mambo mengine uliyotaja hapo juu.
 
Umeiweka vyema kabisa.
 
Si kweli kwamba udikteta ni njia sahihi ya kuifanya nchi isonge mbele.
 
Si kweli kwamba udikteta ni njia sahihi ya kuifanya nchi isonge mbele.
Kutokuwa na demokrasia haimaanishi kuwa na udikteta. Tunahitaji mfumo ambao serikali haihitajiki kufanya maamuzi kuwapendeza wananchi bali iweze kufanya maamuzi kwa faida ya wananchi hata kama hayawapendezi.
 
Kwahiyo nchi masikini hazihitaji hata katiba.Nafikiri uko off point
 
China imeendelea chini ya mfumo wa chama kimoja.
Russia imeendelea na inazidi kuendelea ikiwa ipo katika mfumo unaofinya demokrasia.
Hata mataifa ya magharibi yalipata maendeleo kabla ya kuingia katika mfumo demokrasia.
Demokrasia Afrika imekuja wakati tunahitaji zaidi kuendelea. Demokrasia imeleta mgongano wa hoja.
 
Wewe umewahi ona nyumba inaendeshwa kidemokrasia?

Na uelewe kuwa kukosa demokrasia haimaanishi kupiga, kuua na mambo mengine uliyotaja hapo juu.


Sikushangai hujui nikile tunachosema elimu yetu inashida...
Huwezi kuapply demokrasia nyumbani??? Soma kwa kuelewa,usikariri
 
Akili bure kabisa.
 
View attachment 1958450
Sikushangai hujui nikile tunachosema elimu yetu inashida...
Huwezi kuapply demokrasia nyumbani??? Soma kwa kuelewa,usikariri
Mitandaoni kuna kila kitu.

Ila ukijaribu kuendesha familia kidemokrasia, nakuhakikishia mtaishia kula chokleti, pilau na kununua video games badala ya kujenga nyumba. Ndicho kinachotokea kwenye nchi maskini zinazojiendesha kidemokrasia
 

nchi gan yenye demokrasia imepiga hatua?
Ktk afrika nchi kumi zenye uchumi mkubwa kaangalie kuna nchi ngapi zinazoongozwa ki dikteta zimo humo, kulinganisha na zenye demokrasia kiasi fulani.siku zote u dikteta ni kuficha maovu yanayotendeka dhidi ya raia, na ni chaka la ulaji na kukwepa mapungufu yao kuonekana.yaani tulifikia hatua mtu ku post picha ya watoto wamekaa chini, wagonjwa wamelala chini ni kosa!??MUNGU FUNDI
 
Nchi haina demokrasi lakini si ya KIDIKTETA!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…