Nchi masikini haiwezi kuendelea ikiongozwa kidemokrasia

Kwa afrika labda

Sehem zote duniani democracry ni tatizo,hakuna nchi ilishawahi kupata maendeleo makubwa kwa uharaka kwa kutumia democracy, hata china ingeenda na democracy leo ingekua inashindana na arusha kwa maendeleo, you neeed someone who cant forsee mbele zaidi na kuamuru maamuzi ya hapo kwa papo, sio muanze kutengeneza mswada , mpeleke bungeni, mlipe posho ijadiliwe wale wazee wa kinondoni waaanze kuongea pumba ndan kule , mjadala urushwe ujadiliwe sku ingine , usainiwe then upitiwe raisi aupitie ausaini, watafutwe watu wa hio kazi muwatafutie ela, huu ni mfano tu, you need someone anaeona mbele na kufanya maamuzi apo apo, you need xijinping
 
Congo, Africa ya Kati, Sudan, Ethiopia, Guinea, Gabon, Togo, Mali, Zimbabwe na nyingine nyingi zimekaliwa na madikteta tangu zimepata uhuru hadi leo ila ni mafukara wa kutupwa.

Kuna tafauti kati ya dikteta na mroho wa madaraka
 

Mpaka sasa hatujapata mtu anaefaaa kuitwa dikteta, with the likes za magufuli wengine ni waroho tu wa madaraka! we need xijinping
 

Ni kweli kabisa mkuu
 
mpaka sasa hatujapata mtu anaefaaa kuitwa dikteta, with the likes za magufuli wengine ni waroho tu wa madaraka! we need xijinping
Huwezi ukaongozwa na dikteta ukawa na maendeleo.Dikteta yupo kwa maslai yake na watu wake na sio kwa nchi na wananchi
 
Umeanza mada yako vibaya unaruka matope unakanyaga mv!
 
Sweden, Norway,Uk, Canada, India, USA, Japan,China Wana national interest na sio personal interest kama za jiwe Chato,dodoma, kununua wapinzani.
 
Kama hii nadharia yako potofu ingekuwa na maana, basi nchi nyingi za Afrika zingekuwa tajiri, maana nyingi zinaendeshwa bila kujali demokrasia.
 
Reactions: BAK

Kila mtetea uovu hujificha kwenye maendeleo ya China. Lakini hamko tayari kulinganisha nchi zilizoendelea kwa demokrasia v/s zisizo na demokrasia.
 
Shida sio maamuzi magumu bali matokeo ya hayo maamuzi magumu.Hilo daraja limefika huko walipobomoa bure jengo la tanesco?
Kulikuwa na ulazima gani kutumia mabilioni kubomoa.

Ule ni ugonjwa wa kuamini unajua kila kitu kumbe ni mweupe tu nje ya vitu usivyovijua
 
Hao sio waafrika kiasili ni waarabu wanaoishi Afrika.
Kilichowasaidia kuwa na maendeleo ni mifumo ya dini ya kiislamu inapinga dhuluma na batili na kukazia haki kwa wote.Thus ni nchi pekee za kiafrica zilizoeendelea baada ya UHURU.Tunisia, algeria,libya, morocco, mauritania,misri,na pia zipo karibu na ulaya aliyekaribu na jikoni ni lazima asikie harufu ya mapishi
 
Huu uzi unatakiwa kufutwa , yaani mtu mwenye akili timamua anaweza kubeza demokrasia? watu wa Lumumba ni wa ajabu sana Mungu awasaidie tu, wapiga makofi, hata mtu akiharisha wanasifia, Jitu limehamisha serikali kwenda Dodoma bila hata kusikiliza ushauri likasifiwa, majengo meeengi makubwa yamekua magofu hakuna wapangaji hela zilizoyajenga zimepotea bure bado mnasifia, wamehamia dodoma lakini kila siku wako dar bado mnasifia , SHAME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…