Nchi moja serikali mbili: Unafahamu kuwa bado China ipo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe?

Nafikiri unaizungumzia Jamhuri ya watu wa China ?

Sio kweli kuwa Jamhuri ya watu wa China inaihofia U.S maana kwa sasa U.S sio tishio kijeshi kwa Jamhuri ya watu wa China kama ilivyokuwa miaka ya 50 ninaweza sema Jamhuri ya watu wa China inajaribu kusogeza mbele muda ili kuona maafikiano ya amani baina yake Jamhuri ya watu wa China na Jamhuri ya China kama yatafikiwa.

Maafikiano ya amani yasipo fikiwa kuna asilimia kubwa kuzuka vita baina ya hizi serikali mbili katika muendelezo wa kugombania utawala wa China
China hana ubavu wa kuanzisha vita na US ya maneno sawa lakini sio vita kamili ya silaha kufika hapo alipo china kasota sana so hawezi kubali kurudi mavumbini. Tulijionea hapa wakati Nancy Pelosi akisema lazima aende Taiwan China ikapiga sana kelele kusema asicheze na moto .Bibie Nancy akaenda Taiwan na akalala vizuri kabisaaa na akaondoka vizuri kabisaaa.
Ndiyo maana hata mgogoro wa urusi na ukraine china yupo makini sana hata israel na palestine napo yupo makini mno.
Kuwa US ni tishio kwa china kijeshi hilo halina ubishi labda mtu aamue tu kuweka ubishi wa kitoto.
1.Unaongelea nchi yenye base za kijeshi sehemu mbalimbali duniani.
2.Unaongelea nchi ambaye imepigana vita kadhaaa mpaka vya nyuklia
3.Unaongelea nchi yenye watafiti wa dhana za kivita bora kabisa duniani.
4.Unaongelea nchi ambayo vita ndiyo DNA yake.
Unaongelea nchi inayoweka bajeti kubwa mno ya jeshi kila mwaka.

Obvious huwezi linganisha hii nchi na nchi kama China. Ndiyo China kapiga hatua kubwa sana kimaendeleo na kijeshi lakini siyo za eti kupambana kijeshi na kuishinda US.
 
China haihofii marekani kijeshi maana kwenye mizania wote wapo sawa tu hakuna utofauti mkubwa wa kiulinzi kati ya Marekani na China.

Kuhusu suala la Nacy Pelosi sifikiri kama inaweza tumika kama sababu ya China kuanzisha vita, moja ya faida ya kuwa na uongozi wenye uwezo wa kuona na kufikiri mbali kwa mtazamo wa faida na hasara wa maamuzi wachukuayo ni huo uwezo wa Jamhuri ya watu wa China kwa maamuzi walio chukua kwa kitendo kile.

Maamuzi muhimu kwa nchi haya amuliwi kimuhemko bali yahitaji maandalizi ya kipindi kirefu hata uamuzi alichokua Urusi dhidi ya Ukraeni haukuwa uamuzi wa usiku mmoja bali wa miaka mingi lakini uamuzi waliochukua maasimu wake juu ya Urusi kuhusu Ukraine ulikuwa uamuzi wa usiku mmoja na ndio maana yale yaliyo tarajiwa kwa kiasi kikubwa hayakutukia kama ilivyo takiwa kuwa.

Katika historia China na Marekani haitakuwa mara ya kwanza kwao kukutana katika vita vya moja kwa moja miaka ya 50 katika vita vya Korea marekani iliweza kupigwa na kurudishwa nyuma na Jamhuri ya watu wa China katika maeneo yake aliyo yatwaa awali kabla Jamhuri ya watu wa China haija jiingiza katika vita hivyo.

Miaka hiyo jeshi la Jamhuri ya watu wa China lilikuwa dhaifu na hata umiliki wa silaha za maangamizi za kinyuklia lilikuwa halina tofauti na sasa hivyo sio sahihi kusema kuwa Jamhuri ya watu wa China inaihofia marekani kinguvu za kijeshi tena kwa miaka ya sasa haiwezi kuwa hivyo.
 
Mpango wa mao baada ya kuwashinda wanajeshi wa Taiwan ndani ya mainland china ilikuwa kuichukua Taiwan.

Baada ya marekani kuingia pale wakahairisha na kuamua kupeleka nguvu zao north Korea. Huoni kama Kuna military supremacy waliiona hapo Taiwan na kuamua kubadilisha lengo??

Pamoja na mkataba wa ulinzi wa us na Taiwan kusitishwa miaka ya 80 ila marekani alipeleka nyambizi miaka ya 90 kutokana na mvutano kuwa mkubwa kati ya china na Taiwan.

Taiwan haiwezi ishinda china peke yake lakini haya mazingira yanaonesha defense Toka marekani ipo assured.
 
Marekani anaiuzia silaha pekee Taiwan ila suala la kuilinda vita vikizuka hawezi fanya hivyo.

Marekani na China kwa sasa vita vyao vitakuwa na madhara makubwa kwa kuwa nguvu zao sasa zinawiana na matumizi ya silaha za maangamizi kila moja anazo za kutosha tofauti na miaka ya 50 hivyo marekani hawezi kubali kupigana vita na China hii.
 
Back
Top Bottom