Nchi nyingi nilizotembelea mikate ni chakula ila huku kwetu ni kitafunwa

Nenda Zenji tu mtu anakula dinner boflo kwa maharage
Boflo A.K.A Songambele linaendana na kila kitoweo/mboga

Hayo maharage pia unajazia, wengine wanapiga boflo na margarine tu ndio imetoka hiyo mpaka asubuhi.... Wengine ndio yametulea hayo...boflo full suit asubuhi, mchana na usiku unabadilisha mboga ya kutoelea tu
 
Tunaomba picha mkuu
 
Tatizo lako ni dogo tu bwashe, wewe elewa tu kuwa hata kitafunwa ni chakula ....ngoja nikupe tafsiri ndogo chakula ni chochote kinacho liwa na kinacho mfaa binadamu kula .... haya uliza swali
 
Mikate hiihii ya kibongo ndiyo mtu afanye iwe lunch au ina ingredients tofauti huko?

At least dinner sababu digestion iko slow unapolala,lunch?
Wanacheza nayo udambwi kidogo Ila mwisho wa siku ni mkate na mlo unalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…