Hu Jintao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,726
- 3,359
Kuna Moko mmoja aliwahi kunisimulia kuwa ngano Ina mchango mkubwa sana ktk kunoa intelligence (Capacity of mind) ya binadamu. Ndio maana race zote ambazo zimepiga hatua ktk nyanja mbalimbali chakula Chao kikuu lazima kiwe product ya ngano au ngano yenyewe.
Aliendelea Kwa kutoa Boko jingine et mahindi yaliletwa na wareno Ili kuongeza idadi ya watu katika jamii za kiafrika Ili kupata idadi kubwa ya watumwa waliokua wakiitajika huko bara Amerika.
Aliendelea Kwa kutoa Boko jingine et mahindi yaliletwa na wareno Ili kuongeza idadi ya watu katika jamii za kiafrika Ili kupata idadi kubwa ya watumwa waliokua wakiitajika huko bara Amerika.