Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Nimeishi na nchi moja huko ulaya na kufanya kazi taasisi moja hivi, Ilikuwa chakula tunakula kwa pamoja, Dah jioni chakula ni mikate hasa brown sosage na matunda mwanzoni sikuwaelewa aisee nilikuwa ikifika saa 6 usiku nakuwa na njaa balaa.
Kila jumapili jioni ilikuwa mnapangiwa zamu ya watu watatu kuandaa chakula cha jioni cha watu wote, hapa unaweza kupika chakula mtakachochagua nyinyi, siku hiyo tulipangiwa zamu ya kupika, nilipagwa mimi na jamaa wawili mmoja mtu Ghana na mwingine mbrazil, niliwashawishi tupike supu ya ng'ombe na tambi tule na mikate.
Duh ile supu wazungu waliigomea aisee, mjerumani mmoja na mke wake alisema kwao supu kama hii ni kwaajili ya Mbwa 🐕, kwanini tuwapikie chakula cha mbwa 🐕! tulimind sana
Hio siku sitaisahau maana walitususia supu yote aisee, tukaenda kuwapa mbwa 🐕