Nchi tatu za Ulaya zinaongozwa na marais mashoga; hatuna cha kushauriwa nao

Kwani huyu mkuu wetu naskia akipiga Tungi nae ana tabia za ki LGBTQ+ anakoboa vi binti vyetu (siri iliyomponza dada Ummy Mwalimu) ?
 
Kama una uchungu sana dhidi ya Boniface na Agatha basi na wewe huna tofauti na Bunge la Ulaya. Tunesema hatuwezi kufundishwa au kukaguliwa na Bunge la mashoga.
Sasa mnalawiti wanaharakati zaidi ya 100 alafu unakuja kulalamika kuhusu mashoga 2? Hivi hiyo ni akili kweli?

Kama mnapinga ushoga basi anzeni kukamata hao polisi wanaolawiti wanaharakati
 
Gen Z wa KENYA wana akili sana wala nyie msijilinganishe nao. Kuchoma Bunge ilikuwa ni sahihi lwa vile Bunge ndilo linatunga sheria mbovu dhidi ya wananchi.
Sio kweli walivunja supermarkets, maduka binafsi, ATMs na maeneo ya kiuchumi. Pia nyumba za viongozi wa serikali zilipigwa kiberiti.
Lakini Gen Z ya mabwege wa Tz anachoma Mwendokasi ambao ndiyo usafiri wetu tunao utegemea
Si mlikua mmebinafsisha kwa mafisadi wenu? Hata hiyo mwendokasi haikuwa msaada wowote mabasi mpka mpigane, upitie dirishani n.k ndio tunautegemea? Get serious
 
Binadamu aliye na akili sawa hawezi kumsaliti mtu aliyemsaidia kwa kiwango ambacho Tundu kasaidiwa. Binadamu tuliumbwa na uso wa soni. Kila ukikumbuka fadhila unasema mdomo koma
Eid Amin alisaidiwa sana na Obote, ila alipoona obote anazingua akaamua kumuweka pembeni kwa faida ya wengi.

Na kweli waganda walifaidi kipindi cha uongoozi wa eid.

Imagine kama Uganda angeishinda vita Tanzania.

Leo hii, Uganda ingekua kubwa saba, mpaka peramiho huko kungekua sehemu ya Uganda.
 
Kuna asilimia kidogo ambao ni maumbile yao, lakini kuna wengi wamekuwa induced na tamaa ya fedha wanauza utu wao
Hao asilimia ndogo uliyoitambua wanaitwaje? Acha kujicontradict na kuulaumu ushoga kama kweli wapo waliozaliwa hivyo. Ushogaupo tangu kabla ya mitume, unalitambua hilo?
 
Silicon Valley is a gayest place on earth, any technology inaanzia pale, huwezi kuwakwepa labda utumie mawe na tende
Silicon Valley ni kitovu muhimu sana cha teknolojia duniani. Ina mazingira yanayokubali utofauti wa kijamii.
Lakini kauli ya “gayest place on earth” ni exaggeration/kejeli zaidi kuliko ukweli wa kisayansi au takwimu rasmi.
 
Mbona tumejenga Selous bwawa la Nyerere bila kujali kelele za wana mazingira wenu? Mbona hawajatufanya kitu. ??
 
Elewa ile ni vita, ila kuteka na kuuwa watu hiyo siyo vita ingekuwa vita endapo kama na wananchi nao wangepewa uhuru wa kumiliki silaha na mamlaka ya kupambana dhidi ya upande wa pili ila ile inachukuliwa kama ukatili dhidi ya binadamu
Hata tarehe 29/10 ilikuwa ni vita, mbona kulikuwa na vijana wanatembea na mabomu ya kienyeji "molotov" na ndiyo walikuwa wanalipua vituo vya mafuta. Ile ilikuwa ni vita pia
 
Maagizo makubwa sana Kwa taifa letu!!

Sentence hiyo inahalalisha jambo la kimedani au!!?

Nakumbuka wakati wa chuma walianza hivi hivi na ikawa!!

Kazi na utu,mi nasonga mbele!!

Mwezi wa tano tarehe 22 umekaribia sawa na mwaka mzima tangu Tumia akili aaandike Uzi wa "BROTHER"

Sawa!!
 
Hakuna vita inayoruhusu wananchi wasio na hatia kuuwawa. Huo ni uhalifu wa kivita.
Unasema "hakuna vita inayoruhusu..." halafu unakubali kuwa " huo ni uhalifu wa kivita". Kwa hiyo unakubali kulikuwa vita
 
Sasa mnalawiti wanaharakati zaidi ya 100 alafu unakuja kulalamika kuhusu mashoga 2? Hivi hiyo ni akili kweli?

Kama mnapinga ushoga basi anzeni kukamata hao polisi wanaolawiti wanaharakati
Ni wawili tu ndiyo wamekiri kulawitiwa, hao 98+ umewatoa wapi?
 
Bado kiwango cha Gen Z wa Kenya kiko juu kuliko wa Tanzania
 
Halafu baada ya kumpindua Obote nini kilifuata? Hakutawala hata miaka 9
 
Hao asilimia ndogo uliyoitambua wanaitwaje? Acha kujicontradict na kuulaumu ushoga kama kweli wapo waliozaliwa hivyo. Ushogaupo tangu kabla ya mitume, unalitambua hilo?
Ushoga wa kujitangaza ndiyo ndiyo tunaupiga vita. Wewe kama ni shoga liwa kimya kimya, hatuna shida
 
Hivi ninyi wafiraji siyo mashoga pia?

Unalinyoosha dole lako la shahada kwa wengine wakati huo huo dole gumba linakuelekea mwenyewe.
Hatuna ujanja kwa baba zetu walishi.

Rai ya kujitegemea alizikwa nayo Nyerere, ninyi mnaendekeza uombaomba, na kisha kufisidi mapato ya misaada hiyo, sasa kinawaramba, subirini matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…