Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

Tumebaki na kete mbili tu ili ujinga na upumbavu wa kwenye mnduku kama huo uishe,1.maandamano none stop nchi nzima 2.mapinduzi ya kijeshi .hao akina Salma kikwete na hoja zao ndio ile ile aina ya wabunge wapumbavu tunaozungumzia kila siku ambao hawajali mtu yoyote na wamelewa hivyo hawamtambui mtu yoyote zaidi matumbo na familia zao.
Alikosa hoja akaona apeleke huu ujinga wake, ni mshenzi sn yule mama
 
Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu

Viongozi zaidi ya 600 wananunuliwa magari ya kifahari kwa fedha za kodi ya wananchi huku hakuna vifaa tiba na madawa kwa ajili ya mama na mtoto.

Kina baba, mama na vijana hatuoni umuhimu wa kuwapigia kelele viongozi hawa maRC, mDC, maDED, Wakurugenzi kutumia magari na fanicha za ofisi ya fahari ya gharama kubwa ya kodi zetu.

Viongozi hawa 600 hawaoni haya matumizi haya makubwa ndiyo kwanza wanaendelea kuziba masikio yao kwa kiburi.

Kazi kwenu watanzania muamue kufanya maandano kupigia matumizi ya anasa ya kifahari na kudai katiba mpya inayojali walio wengi badala ya kundi hili la watu 600.
 
Kwa wabunge wale kila kitu hadi uchafu utapita kama ulivyo!
Shame to them na aibu kwao milele!
 
Imeshapitishwa mkuu + kuwekewa kinga
Tumebaki na kete mbili tu mkuu ili ujinga na upumbavu wa kwenye mnduku kama huo uishe,1.maandamano none stop nchi nzima 2.mapinduzi ya kijeshi .hao akina Salma kikwete na hoja zao ndio ile ile aina ya wabunge wapumbavu tunaozungumzia kila siku ambao hawajali mtu yoyote na wamelewa hivyo hawamtambui mtu yoyote zaidi matumbo na familia zao.
 
Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.

Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!

Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.

Huo ni unyonyaji wa mchana kweupeee.
Sasa na watumishi wa umma wote, nao wenzi wao wapate mafao.
 
Hilo la salimaaa lenyewe jinga tu
Lialimu la upe
Lilafi linadhan litakufa na hizo hela
 
Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.

Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!

Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
Tuna laana sio jambo la kuhisi,ni kweli tumelaaniwa
 
Back
Top Bottom