Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Inasikitisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umenielewa nilichokizungumzia kuhusu huo udini wako usiokuwa na faida kwenye dini?Kaisome falsafa ya mama Samia ya R 4 uielewe, usikurupuke, pitia uzi nimeshangia mada.
Huwa nawashauri ukiikuta mada kabla hujakurupuka kuandika kwanza ipitie japo kijuujuu uelewe kinachojadiliwa na maoni ya wengine.
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Kama unaona ilo ni sawa kwenye nchi kama hii isiyo na mbele wala nyuma utakua mjinga mwandamizi.Kwasababu ata kama angekua ni mmoja kumlipa ni ujinga.GENERALIZATION...
Hivi idadi ya wake wa hao vigogo iko kiasi gani ?!!!
Acha roho ya husuda....inakuumiza tu nafsi yako [emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Jamaa wapo ajili ya kuibia wanyonge pekeeHii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.
Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!
Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
Acha tulindane kwanza sisi tuendelee kula mema ya Nchi! Hao wengine badaeeeee!!!Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.
Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!
Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
Na wabunge wameongezewa posho. Wananchi wamelala huku. Vijana wanajadili sex na mpira muda wote. Wacha wapigike.Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.
Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!
Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
I wish wananchi wangekuwa wadadisi na kuona jinsi kulivyo na vifo vingi vinavyotokana na huu uongozi mbovu wa CCM wangechoma nchi moto. Nchi yenye umaskini eti kuna mtu anaitwa naibu waziri mkuu na anatembea na ulinzi wa watu wengi, ukihoji kuna wajinga wanasema ''kwani hujui ni waziri mkuu, anastahili.'' Rais anafanya kufuru ya kutowa fedha nyingi kwa wachezaji wa mpira, watu wanashangilia. Wabunge wanaongeza mshahara maradufu watu wanajadili bongo flavour. Acha wapigike mpaka kunako..Wapo tayari kuona watoto wa wanyonge wanakufa
Tumebaki na kete mbili tu ili ujinga na upumbavu wa kwenye mnduku kama huo uishe,1.maandamano none stop nchi nzima 2.mapinduzi ya kijeshi .hao akina Salma kikwete na hoja zao ndio ile ile aina ya wabunge wapumbavu tunaozungumzia kila siku ambao hawajali mtu yoyote na wamelewa hivyo hawamtambui mtu yoyote zaidi matumbo na familia zao.Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.
Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!
Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
Hii ni laana si bure. Viongozi wamekuwa na tamaa iliyopitiliza na kutokuwa na huruma kabisa kwa wananchi waliowachagua.Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.
Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!
Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
Huyo faiza wenu ndio maana ana ubin wa fox.Watanzania wengi tumezowea kuendeshwa kimazowea, bado hatuielewi maana kamili ya falsafa ya R 4 za uongozi wa serikali ya sasa hivi,
Naelewa kuna Reforms na Rebuilding kwenye mashirika na taasisi zote za Kiserikali kwa hiyo mabadiliko tuyategemee, sishangai.
Soma zaidi: RRRR ya Rais Samia Watanzania wengi wanaoishi kimazoea hawatoielewa haraka
Ukweli huu uongozi ni mbovu snI wish wananchi wangekuwa wadadisi na kuona jinsi kulivyo na vifo vingi vinavyotokana na huu uongozi mbovu wa CCM wangechoma nchi moto. Nchi yenye umaskini eti kuna mtu anaitwa naibu waziri mkuu na anatembea na ulinzi wa watu wengi, ukihoji kuna wajinga wanasema ''kwani hujui ni waziri mkuu, anastahili.'' Rais anafanya kufuru ya kutowa fedha nyingi kwa wachezaji wa mpira, watu wanashangilia. Wabunge wanaongeza mshahara maradufu watu wanajadili bongo flavour. Acha wapigike mpaka kunako..
Hoja hii ya kuwalipa wenza wa viongozi ilipelekwa bungeni na mtu mpumbavu asiyejua hata wakati na nn aongee na kwa sababu ilitoka kwa mtu mpumbavu ndio maana hata hoja yenyewe ni ya kipumbavu tu.Na Bunge kama lina wenye Akili wala upumbavu huu haupaswi kujadiliwa na wenye akili.huu ni wa kubeba na kutupa chooni.Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.
Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!
Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
Viongozi wa hovyo sn kuwahi kutokeaHii ni laana si bure. Viongozi wamekuwa na tamaa iliyopitiliza na kutokuwa na huruma kabisa kwa wananchi waliowachagua.
Imeshapitishwa mkuu + kuwekewa kingaHoja hii ya kuwalipa wenza wa viongozi ilipelekwa bungeni na mtu mpumbavu asiyejua hata wakati na nn aongee na kwa sababu ilitoka kwa mtu mpumbavu ndio maana hata hoja yenyewe ni ya kipumbavu tu.Na Bunge kama lina wenye Akili wala upumbavu huu haupaswi kujadiliwa na wenye akili.huu ni wa kubeba na kutupa chooni.