Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.

Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!

Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
Dah aisee inaumaa sans
 
GENERALIZATION...

Hivi idadi ya wake wa hao vigogo iko kiasi gani ?!!!

Acha roho ya husuda....inakuumiza tu nafsi yako [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwani hao wenza wanajitolea kufanya kazi,hawalipwi?Kama ni hivyo basi kila mtumishi wa serikali akifa mwenza basi aliyebaki awe analipwa.
Uyo Mama Salma Kikwete ndiye aliyeleta hii hoja ya kipuuzi Bungeni,wamepewa jumba la kifahari na bado wanatunzwa na serikali lakini hawaridhiki!
Bado Hela walizotuibia na kuzificha huko ughaibuni!
 
Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.

Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!

Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
Wabunge wetu ni wajinga sana kama watz tuna akili wabunge hawa wa CCM wote hapaswi kurudi tena mjengoni watafute kazi nyingine
 
....hata wakilipwa sawa na rais aliyepo haiumizi HAZINA ya taifa....

Mwakani DP WORLD watakuwa wanatuchangia TRILIONI 26 kila "fiscal year"....ni pesa nyingi mnoooo [emoji106]

Usijitie hamaniko kwa hivyo vitu vidogo[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
DP World TRILLION 26 wanaitolea wapi?
 
GENERALIZATION...

Hivi idadi ya wake wa hao vigogo iko kiasi gani ?!!!

Acha roho ya husuda....inakuumiza tu nafsi yako [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Siyo roho mbaya ni ujinga sisi watoto wetu wanakufa kwa magonjwa yanayotobika kwa kukosa bima ati bunge letu linapitisha sheria za hivyo hivi,watumishi wanapigwa kwa vikokotoo sasa nani mwenye roho mbaya kama siyo hao wajinga walioko bungeni?
 
Waafrika hasa watanzania wana Upumbavu wa milele.

Uafrika hasa utanzania ni laana.

Epuka laana ya kuishi Afrika.
 
Watanzania wengi tumezowea kuendeshwa kimazowea, bado hatuielewi maana kamili ya falsafa ya R 4 za uongozi wa serikali ya sasa hivi,

Naelewa kuna Reforms na Rebuilding kwenye mashirika na taasisi zote za Kiserikali kwa hiyo mabadiliko tuyategemee, sishangai.

Soma zaidi: RRRR ya Rais Samia Watanzania wengi wanaoishi kimazoea hawatoielewa haraka
Kama kashindwa kuleta Maridhiano na Chama kikuu cha upinzani CHADEMA na sasa anapuuza hitaji la Katiba mpya na kaenda mbali kuita katiba ni kitabu tu.Sasa iyo 4R si ni upuuzi tu!
 
Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.

Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!

Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
Jumu duiiajinkila mtu anapambana kuwa na kitu na hakuna anayekujali pambana na wewe uwe mke wa kigogo au uwe kigogo na mkeo alipwe mshahara..
 
Hiyo definition ipo kwenye Katiba sijabuni mimi.
Kama haukupiga kura uliacha haki yako isitende kazi ukawaachia wengine wakuchagulie usiye mtaka.
Kuna kipindi ilikuwa ni Haki mtu kumiliki mtumwa kisheria na ilikuwa ni sawa (tangia enzi na enzi) lakini haimaanishi kwamba kila mtu alikubaliana nayo... Kuna Sheria za Nchi na Jamii na kuna Rules na Principles Binafsi (Miongozi yangu) na hio hakuna wa kunipangia - Kwahio kinachowekwa mezani na wale Overpaid, Under-performing Primadonas havina baraka zangu....
 
GENERALIZATION...

Hivi idadi ya wake wa hao vigogo iko kiasi gani ?!!!

Acha roho ya husuda....inakuumiza tu nafsi yako [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Chawa hivi unadhani kwa uchache wake ni penseni yao kwa mwaka itakua sawa na ya mwalimu au mtumishi yeyote wa umma??

Ushafikiria idadi hiyo itaongezeka kila mda unavyozidi??

Ewe chawa unaweza kuweka wazi faida yake ni nn??

Ewe chawa amukmako lete majibu basi
 
Kiazi ata wawe wawili awastahili kulipwa kodi zetu
Wanalipwa kwa lipi wapumbav hawa wakati hawakuwa hata watumishi wa umma!!!! Mama Salima alishalipwa mafao yake ya ualimu tena bila kikokotoo,vivyo hivyo na mama Janet bila kikokotoo halafu wanataka tena mafao ya kulala kitanda kimoja na Marais wastaafu.!!!Only in Tz...shoo wapige wao,wa enjoy wao,wazae watoto wao na halafu tuwalipe sisi kwa Kodi zetu!!!!!
 
Hela...na si makamasi....

Keki ya taifa hakuna mtanzania asiyoila.....

Unatumia barabara ambazo hazikujengwa kwa kodi yako tu....hili hulioni ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
yeye na wewe wote mnatumia barabara,kwanini anaomba kulipwa kwa kuwa mke wa kiongozi!!!

si aridhike kupita kwenye barabara pekee kama ni rahisi kama usemavyo!!!
 
Chawa hivi unadhani kwa uchache wake ni penseni yao kwa mwaka itakua sawa na ya mwalimu au mtumishi yeyote wa umma??

Ushafikiria idadi hiyo itaongezeka kila mda unavyozidi??

Ewe chawa unaweza kuweka wazi faida yake ni nn??

Ewe chawa amukmako lete majibu basi
Nimependa sana mstari wa mwisho kwenye comment yako! Big up kwa uandishi uliotukuka
 
Back
Top Bottom