Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.

Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!

Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.

na bado acha waendelee na zaidi ya hapo hadi akili za waTz zikae sawa kwanza maana wengi wao akili hamna ni wajinga wa kupewa khanga na kofia tu.
 
Tumepitisha wapi ?, Sema wamepitisha unless na wewe ni kati ya waliopitisha hivyo nakwambia in Advance Acha Upuuzi.....
Hivi haujui mbunge wako au waziri anafanya kazi bungeni au serikalini kwa sababu ya mamlaka uliyompa kwenye sanduku la kura.
Anapitisha pale kwa niaba yako na take, ni kusema wewe umepitisha pia.
 
Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.

Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!

Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
Noma sana
 
....hata wakilipwa sawa na rais aliyepo haiumizi HAZINA ya taifa....

Mwakani DP WORLD watakuwa wanatuchangia TRILIONI 26 kila "fiscal year"....ni pesa nyingi mnoooo [emoji106]

Usijitie hamaniko kwa hivyo vitu vidogo[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
infact hatujitii mahangaiko ila tunasikitika kwamba wanaacha kugawa keki ya taifa kwa wote ila wanajipendelea.

by the way hizi trilion 26 nywele au hela???
 
Kiazi ata wawe wawili awastahili kulipwa kodi zetu
Wanalipwa kwa lipi wapumbav hawa wakati hawakuwa hata watumishi wa umma!!!! Mama Salima alishalipwa mafao yake ya ualimu tena bila kikokotoo,vivyo hivyo na mama Janet bila kikokotoo halafu wanataka tena mafao ya kulala kitanda kimoja na Marais wastaafu.!!!Only in Tz...shoo wapige wao,wa enjoy wao,wazae wao halafu tuwalipe sisi kwa Kodi zetu
 
Hata wangekuwa wawili tu,waume zao wanakuwa wameshatuibia sana wana mahela mengi sana wapotezewe tu pumbavu zao
Aisee kwamba wealth ambayo wamekusanya ktk level mbalimbali za uongozi hadi kufikia Urais bado haziwatoshi wanataka walipwe zaidi na wake zao?

Ndio maana wanataka watufundishe katiba Mpya miaka mitatu.
Wanatudharau sana
 
GENERALIZATION...

Hivi idadi ya wake wa hao vigogo iko kiasi gani ?!!!

Acha roho ya husuda....inakuumiza tu nafsi yako [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
We hauna akili kabisa, sasa wake za viongozi walipwe mafao kwa kazi gani hasa walizofanya?!
Na vp kuhusu watumishi wengine waliostaafu, kwann wake zao nao wasilipwe hayo mafao...tena utakuta watumishi wamefanya kazi miaka mingi zaidi kabla hawajastaafu kuliko hao viongozi wako!.
Uchawa ni janga Tanzania.
 
Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.

Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!

Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
Soon wake wa vigogo wanakuja, jiandae kisaikolojia.
 
Hivi haujui mbunge wako au waziri anafanya kazi bungeni au serikalini kwa sababu ya mamlaka uliyompa kwenye sanduku la kura.
Anapitisha pale kwa niaba yako na take, ni kusema wewe umepitisha pia.
Hio Definition ameitoa nani na nilikubaliana nayo lini ? Unajuaje kama nilipiga Kura au wote waliokuwepo niliona ni non of the above ? Sijaona Mbunge anayemwakilisha mwananchi pale bali wanajiwakilisha wenyewe..., Hence this is on them..., And let the Record Show that I have nothing to do with their Shenanigans...
 
Back
Top Bottom