Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Naelewa uadhimu wa taifa kuwatunza hao akina mama[emoji120]Unazani haelewi? Anaelewa sana tu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naelewa uadhimu wa taifa kuwatunza hao akina mama[emoji120]Unazani haelewi? Anaelewa sana tu
Hela...na si makamasi....infact hatujitii mahangaiko ila tunasikitika kwamba wanaacha kugawa keki ya taifa kwa wote ila wanajipendelea.
by the way hizi trilion 26 nywele au hela???
[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji106]Hata wakipewa mara kumi ya hizo watakazokuwa wanapewa hawataridhika kamwe maana Amani katika mioyo huwa hailetwi na pesa !!
BWANA amesema tuheshimu MAMLAKA ...wake za viongozi ni mama zetu wa TAIFA....tuna haki ya kuwahudumia ilivyo ainishwa[emoji120]Wanalipwa kwa lipi wapumbav hawa wakati hawakuwa hata watumishi wa umma!!!! Mama Salima alishalipwa mafao yake ya ualimu tena bila kikokotoo,vivyo hivyo na mama Janet bila kikokotoo halafu wanataka tena mafao ya kulala kitanda kimoja na Marais wastaafu.!!!Only in Tz...shoo wapige wao,wa enjoy wao,wazae wao halafu tuwalipe sisi kwa Kodi zetu
Wewe ni mmojawao, kwako wewe wakiwa wangapi ndo wasipewe hiki tunachosema ni ulafi na ujinga mkubwa wa wasomi wa Kiafica wanaoishia kufikiria matumbo yao kuliko kuwatoa wananchi kwenye umasikini?GENERALIZATION...
Hivi idadi ya wake wa hao vigogo iko kiasi gani ?!!!
Acha roho ya husuda....inakuumiza tu nafsi yako [emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hakuna dharau yoyote ile....Aisee kwamba wealth ambayo wamekusanya ktk level mbalimbali za uongozi hadi kufikia Urais bado haziwatoshi wanataka walipwe zaidi na wake zao?
Ndio maana wanataka watufundishe katiba Mpya miaka mitatu.
Wanatudharau sana
Watanzania wengi tumezowea kuendeshwa kimazowea, bado hatuielewi maana kamili ya falsafa ya R 4 za uongozi wa serikali ya sasa hivi,
Sasa idadi ya watumishi na wake zao unalinganisha na hao mama zetu wake wa viongozi ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787]We hauna akili kabisa, sasa wake za viongozi walipwe mafao kwa kazi gani hasa walizofanya?!
Na vp kuhusu watumishi wengine waliostaafu, kwann wake zao nao wasilipwe hayo mafao...tena utakuta watumishi wamefanya kazi miaka mingi zaidi kabla hawajastaafu kuliko hao viongozi wako!.
Uchawa ni janga Tanzania.
Nasubiri shemeji yangu ambaye ni mkeo naye alipwe....binafsi nitaridhia kukatwa kodi yangu kwa ajili yake [emoji120][emoji120]Soon wake wa vigogo wanakuja, jiandae kisaikolojia.
[emoji1787][emoji1787]Hio Definition ameitoa nani na nilikubaliana nayo lini ? Unajuaje kama nilipiga Kura au wote waliokuwepo niliona ni non of the above ? Sijaona Mbunge anayemwakilisha mwananchi pale bali wanajiwakilisha wenyewe..., Hence this is on them..., And let the Record Show that I have nothing to do with their Shenanigans...
Hiyo definition ipo kwenye Katiba sijabuni mimi.Hio Definition ameitoa nani na nilikubaliana nayo lini ? Unajuaje kama nilipiga Kura au wote waliokuwepo niliona ni non of the above ? Sijaona Mbunge anayemwakilisha mwananchi pale bali wanajiwakilisha wenyewe..., Hence this is on them..., And let the Record Show that I have nothing to do with their Shenanigans...
Umaskini wa wazazi wangu hauwezi kuondoka kwa kulipwa ama kutokulipwa hao mama zetu wake wa viongozi....Unakuta kijana anapambia utafikiri ni mmoja wao, wakati hahitaji kwenda mbali kuuona umaskini, pengine mzazi wake tu huko alipo ni kudra za Mungu tu zinamweka. Huku chawa akijiaminisha pengine anavyowapambania siku moja zamu yake kula utafika, aweze kumuondoa mzazi wake gizani. Wazazi wa wenzake watajijua, maisha kupambana.
Naungamkono hojaHivi ni lazima aendelee kuwa Rais?
Mimi ni mwananchi wa kawaida ninayeishi kwa "kuhurstle"...siilaumu serikali kwa kipato changu kidogo wala sililaumu dola kwa kuzaliwa familia ya kawaida.....Wewe ni mmojawao, kwako wewe wakiwa wangapi ndo wasipewe hiki tunachosema ni ulafi na ujinga mkubwa wa wasomi wa Kiafica wanaoishia kufikiria matumbo yao kuliko kuwatoa wananchi kwenye umasikini?
.....tuzitii mamlaka kwa maana zimetoka kwa MUNGU...[emoji120]Sjui imeandika ktk vitabu vya dini sjui ni msemo wa wahenga mi sio mfuatiliaji sana wa mambo ila kuna msemo mmoja unasema mwenye nacho ataongezewa na yule asie na kitu ata kidgo alichonacho atanyanganywa
Binafsi yake, hatopenda ukatwe kodi kwa ajili yake.Nasubiri shemeji yangu ambaye ni mkeo naye alipwe....binafsi nitaridhia kukatwa kodi yangu kwa ajili yake [emoji120][emoji120]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app