Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

Hata wangekuwa wawili tu,waume zao wanakuwa wameshatuibia sana wana mahela mengi sana wapotezewe tu pumbavu zao
Hizo ni chuki tu za nafsi yako....

Hivi taifa lina raslimali fedha kiasi gani kuumizwa hazina kwa kuwahudumia hao wake za viongozi ?!!!

Tuna unafiki mwingi sana....

Huku mitaani mademu zetu kutwa kuchangia shughuli na kutoa zawadi ilihali wanatumia simu za vitochi zilizofungwa na "rubber band".....[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
rais,makamu,PM,JM,S,

hawa watu wakistaafu wanalipwa na kulelewa mpaka kufa+ 80% ya mshahara wa rais aliyepo.

kimahesabu hii 80% hain kazi kabisa maana hakuna anachofanya kwa hela yake mfukoni,jumlisha n uzee alio nao.
mama yetu mdogo anapendekeza walipwe na wao,ubunge haumtoshi[emoji23][emoji23],huyu hata anawezapendekeza wake za viongozi wastaafu walipwe sawa na rais aliyepo.
....hata wakilipwa sawa na rais aliyepo haiumizi HAZINA ya taifa....

Mwakani DP WORLD watakuwa wanatuchangia TRILIONI 26 kila "fiscal year"....ni pesa nyingi mnoooo [emoji106]

Usijitie hamaniko kwa hivyo vitu vidogo[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi ukiwa mnyonge au mlalahoi una option mbili tu, either uishi kama watakavyo mabwanyeye au uishie ukajitafutie pengine (hata burundi huko) uamuzi ni wako
 
Nilihisi nimejibiwa visivyo nilivyoambiwa bima ya watoto haipo tena.

Hii nchi ipo kwenye mapambano ya kupunguza vifo vya watoto wenye umri wa chini ya miaka 5 ila wanafuta bima.

Hivi sijui mnaelewa jinsi gani wanafikiria?
 
Back
Top Bottom