Nchi ya Finland yaanza maandalizi ya vita

Hata sasa wana sayansi wanao wengi tatizo unajua Lugha ya Russia ?
Albert Enstein, anajulikana dunia nzima haijalishi unajua kiyahudi au hujui, Archimedes twamsoma tangu shule ya msingi haijalishi unajua kiyunani au hujui, Ohms twamsoma tangu shule ya msingi haijalishi unajua kijerumani au hujui Michael Faraday tumemsoma haijalishi twajua English au hatujui kazi/tafiti zao zinajulikana duniani kote na utawasoma tu kwenye lugha yako sasa why hao wa urusi mpaka ujue kirusi ndo uwajue? sizungumzii wingi wa wanasayansi nazungumzia kazi zao kutambulika dunia nzima na kusomwa kizazi mpaka kizazi na tafiti kuwa za kwanza. Kama wingi wa wanasayansi hata bongo tz tunao wengi tu hata hayati JPM alikuwa mwanasayansi lakini je kazi/tafiti zake zinajulikana dunia nzima? zinasomwa kizazi hata kizazi kwa kiwango cha hao niliowataja? na sijasema kuwa kuwa hawana no wanao mf ivan pavlov ila si wengi kiasi cha mfano ile ugiriki ya kale.
 
Nimegundua US huwa ana vitu ambavyo hatuvijui ila viko effective
Achana na US, anza na UK tu. UK kapeleka Javeline, kazima misafara ya siafu wa Urusi, baadae akapeleka Anti Ship Missiles, jana imezamishwa meli kubwa zaidi ya Kirusi, meli tegemezi ktk operations za Urusi na Ulinzi.
 
Achana na US, anza na UK tu. UK kapeleka Javeline, kazima misafara ya siafu wa Urusi, baadae akapeleka Anti Ship Missiles, jana imezamishwa meli kubwa zaidi ya Kirusi, meli tegemezi ktk operations za Urusi na Ulinzi.
SAHIHISHO: Javelin anti tank missile ni silaha ya kimarekani na sio ya kiingereza.
 
wanamsaka mchawi kimya kimya akiwa analoga kwa jirani
 
Hapo kwenye Denmark weka Sweden kwani Denmark tayari ni mwanachama wa Nato wa muda mrefu.
 
Wazungu acha watwangane tu, sio kila mara vita viwe Afrika
Ingekuwa hivyo eti inapelekea uchumi wetu kupaa ingekuwa raha sana lakini kwa bahati mbaya ndiyo unazidi kusambaratika kabisa.
 
Akina dikteta Putin ndio wale wa Punda afe lakini mzigo ufike.🤣🤣🤣
 
sababu Finland anataka kujiunga na NATO Ndo maana mrusi anajihami
 
Tunaposema Kiranja wa dunia na Mtoto wa Mjini basi ni united states of America, pamoja na kuwa siku zote siamini katika uwezo wa Kijeshi wa Urusi
Leo tumeona Jinsi mrusi na Mbwembwe zote ila yet ameshindwa kuikamata kyviv na sasa anaruka ruka tu kama Chura aliyewekwa kwenye Maji ya moto, Sasa next target ni Kuondoka kwa Putin mana kuna huge protesting inakuja ambapo raia wa Urusi wataanza kufeel madhara ya Vita, Njaa kali haijawahi kubakiza Kiongozi yoyote kwenye Sterling
 
Hata hivyo bado Finland haijiamini! Imesema ndani ya wiki chache zijazo huenda ikafikiria kuomba uanachama wa NATO.
Hiyo ni lugha tu ya kikubwa lakini hakika watajiunga, ni sawa na vile Russia alivyokuwa anasema anafanya tu mazoezi mpakani mwa Ukraine wakati US anasema lengo ni kuvamia.
 
Kikanda hao nimuhimu Sana hasa japan
 
Acha nikajiunge na jeshi la Finland,nipambane kimchongo huku nikitoa siri za jeshi la Finland kwa The Great Mother Russia

Russia all the way
Tatizo hata viza yenyewe tu hutopata,nenda Russia viza nnje nnje [emoji3]
 
Finland atashinda ila timing yake mbovu sana. Either usa anampango wa kumdhoofisha Russia for two wars wakati huo anamchokoza China kwa Taiwan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…