cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Hii Sio kazi Bali ushabwada tu
Ushabwada maana yake nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Sio kazi Bali ushabwada tu
Gesi imeuzwa wapi wewe!?..unaleta porojo za mitaani!!..iliuzwa lini, kauziwa nani!?Unajua kwann chuma alienda Kweny maji Kwa sababu ges ishauzwa Mzee na serikali inanunua ges kuzalisha umeme na ndio Maana ameenda alikua na nia nzuri ajakosea Wala maana matajorio yalikua kununua umeme point 2. Kwa shilling mia 3 tufout na Sasa Kwa buku
Nashindwa kuelewa kabisa Yani kwamba Kuna mgao wa umeme au laaa Tangu asabuh uku msasan akuna umeme na akuna taarifa zozote iyo aitoshi Jana maji akuna leo yapo umeme akuna Sasa Aya Maji Sijui yanapandaje Kweny tenki sometimes unashikwa na hasira akuna shughul yoyote Maana source Zote muhimu akuna Watu wanajiamulia tu kukataa umeme kuzima Maji Sasa ule mradi wa kigambon unamaana Gani wanachi tushachoka Sasa
Huna uwezo wa kufikiri ndio maana huoni tatizo. Sasa hivi ni zaidi ya mwaka 60 tangu tupate Uhuru lakini bado tunaongelea mgao wa maji na umeme huku tumezungukwa na mito na maziwa. Kibaya zaidi Hali ni mbaya kwenye utawala huu kuliko utawala mwingine.Vyote vipo kwenye mgao shida yako ni Nini?
Maziwa pia yamekauka, visima pia vimekauka. Ni Bora uwe mlemavu wa viungo kuliko kuwa mlemavu wa akili.hujalazimishwa kuishi tz ,kama hapa umeme hakuna na maji nenda kenya somalia au uganda hata ulaya .tusisumbuane we unajua kabisa mito imekauka hata ruvu imekata unataka umeme na maji kojoa unywe!
Hamia ambako Hakuna mgaoHuna uwezo wa kufikiri ndo maana huoni tatizo.sasa hivi ni zaidi ya mwaka 60 tangu tupate Uhuru lakini bado tunaongelea mgao wa maji na umeme huku tumezungukwa na mito na maziwa.kibaya zaidi Hali ni mbaya kwenye utawala huu kuliko utawala mwingine.
Ndio maana nakuambia hauna akili.Hamia ambako Hakuna mgao
Wewe unazo?Ndo maana nakuambia hauna akili.
Wakati wa JPM umeme haukuwa unakatika kama ilivyo sasa.Ukame,maji ya kupampu hakuna,hata hivyo mipango imetimia huko kigamboni,utapata maji Kama kawaida,ama kwa upande wa umeme vumilia,maana jiwe aliambiwa amalizie project za umeme wa gesi kinyerezi,akakirupukia umeme wa maji rufiji kana kwamba mvua huleta yeye,bwawa hakuna,kinyerezi hakuna,badala ya kutumia midomo yako kulamba nyuchi itumie kuomba mvua mabwawa yajae
Tanzania ilikuwepo kabla ya 2015Wakati wa JPM umeme haukuwa unakatika kama ilivyo sasa.
Acha kupotosha watu.
We ukuona kilichotokea na waandishi wamebadilishwa ukuona kwanZ Mzee mwezang au ufaham angekua mwenyewe tayali lishaisha iliKwa hiyo Kama imeuzwa? Kwa Nini hakuwamalizia bwawa Sasa ili mnunue kwa 300?
Kinachotakiwa Ni matokeo au Nia?
Na ndio maana mmekuambiaa ivyo Kwa Sasa wanataka tuamin mrad wa bwawa la Nyerere auna Maana bola gesi ambayo tununua 1000 Kwa unitWakati wa JPM umeme haukuwa unakatika kama ilivyo sasa.
Acha kupotosha watu.
Unaongea ujinga wako tuu, yuko hai bwawa lilishakuwa nyuma ya muda kwa nini halikuisha?We ukuona kilichotokea na waandishi wamebadilishwa ukuona kwanZ Mzee mwezang au ufaham angekua mwenyewe tayali lishaisha ili
Ndorobo sisi wananchi au viongoz nyoooshaa maelezo kidgoNa kunuka jasho kuendelee ,mpaka dumu muanze kununua kwa shilingi 10000 ndio akili ziwarudi , wanalumumba tena nyie ndio mminywe mpaka maji Muite mma .
Ndorobo wakubwa nyie
Tunapelekeshwa kama mang'ombe life ngumu unaacha afu 7 aitoshi dah 😪Naunga mkono hoja yako.
We akili Una mpumbavu we Bila Shaka Kula kulala kojoa ukafunue poti ule kipolo ukacheze gameHujalazimishwa kuishi tz, kama hapa umeme hakuna na maji nenda Kenya, Somalia au Uganda hata Ulaya. Tusisumbuane we unajua kabisa mito imekauka hata Ruvu imekata unataka umeme na maji kojoa unywe!