Nchi ya ovyo sana hii umeme hakuna, maji yanatoka kwa mashaka

Gesi imeuzwa wapi wewe!?..unaleta porojo za mitaani!!..iliuzwa lini, kauziwa nani!?
 
 

Attachments

  • EBB35BE8-D706-4171-A2C4-799B75B55CF1.jpeg
    112 KB · Views: 3
Vyote vipo kwenye mgao shida yako ni Nini?
Huna uwezo wa kufikiri ndio maana huoni tatizo. Sasa hivi ni zaidi ya mwaka 60 tangu tupate Uhuru lakini bado tunaongelea mgao wa maji na umeme huku tumezungukwa na mito na maziwa. Kibaya zaidi Hali ni mbaya kwenye utawala huu kuliko utawala mwingine.
 
Huna uwezo wa kufikiri ndo maana huoni tatizo.sasa hivi ni zaidi ya mwaka 60 tangu tupate Uhuru lakini bado tunaongelea mgao wa maji na umeme huku tumezungukwa na mito na maziwa.kibaya zaidi Hali ni mbaya kwenye utawala huu kuliko utawala mwingine.
Hamia ambako Hakuna mgao
 
Wakati wa JPM umeme haukuwa unakatika kama ilivyo sasa.
Acha kupotosha watu.
 
Wakati wa JPM umeme haukuwa unakatika kama ilivyo sasa.
Acha kupotosha watu.
Na ndio maana mmekuambiaa ivyo Kwa Sasa wanataka tuamin mrad wa bwawa la Nyerere auna Maana bola gesi ambayo tununua 1000 Kwa unit
 
Na kunuka jasho kuendelee ,mpaka dumu muanze kununua kwa shilingi 10000 ndio akili ziwarudi , wanalumumba tena nyie ndio mminywe mpaka maji Muite mma .
Ndorobo wakubwa nyie
Ndorobo sisi wananchi au viongoz nyoooshaa maelezo kidgo
 
Hujalazimishwa kuishi tz, kama hapa umeme hakuna na maji nenda Kenya, Somalia au Uganda hata Ulaya. Tusisumbuane we unajua kabisa mito imekauka hata Ruvu imekata unataka umeme na maji kojoa unywe!
We akili Una mpumbavu we Bila Shaka Kula kulala kojoa ukafunue poti ule kipolo ukacheze game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…