Nchi ya ovyo sana hii umeme hakuna, maji yanatoka kwa mashaka

Madelu anasema mtazoea tu.
 
Na hili nalo nendeni mkaliangalie kwa karibu sana!! Asanteni sana! Na Kazi iendeleeeee!!
 
Kwa hiyo Kama imeuzwa? Kwa Nini hakuwamalizia bwawa Sasa ili mnunue kwa 300?

Kinachotakiwa Ni matokeo au Nia?
Tulia wwe! Umesahau kua umauti ndiyo umekatiza mipango mizuri ya Magu! Na kaondoka na plani yake kichwani, ndiyo maana waliobaki Sasa ni Kama wanaweweseka vile, kila kukichaa wao wakaa vikao tu hadi vikao vya ajali ya ndege, wakati Wataalamu wenyewe wa Ndege wapo kazini!!!
 
tumeshindwa ku address na kulimaliza kabisa tatizo la umeme kwa miaka 60, tangu Rais Mkapa nchi imekuwa iki strugle ni umeme umeme, ukitaka kujua matatizo ya nchi hii mvua isinyeshe - umeme na maji tatizo, mvua ikinyesha kwa wingi mafuriko na madibwi mijini hasa Dar.

Hivi sisi watanzania tuna matatizo gani? kuna sehemu hatupo sawa kichwani.
 
Alikuwa hovyo ndio maana akalanzwa huko chini..
 
Dah 😪 leo mmeangalia mswali na majibu wahariri na tenesco majibu tuliyowepo acha tu
 
Una kopi na kupest ayo maneno ya awo viongoz wako
 
CCM unasubiria mlipuko mwingine wa ugonjwa tupewe hela tujengee mabwawa tujisifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…