Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kabla sijacoment nianze kwa kumshukuru Mama Samia!Hivi hawa mawaziri wana vyeti vya form four?
Sijaulizia Degrees, Master's au PhD.
Mtu yeyote angalau mwenye cheti cha kidato cha nne lazima ajitambue, hawezi kuishi kwa kutegemea bahati.
Kila jambo likija mikononi mwake anaamini kuwa ni haki yake na anastahili
Hawa mawaziri ambao kila wakiona mike na au kamera mbele zao wakiulizwa swali au jambo lolote lazima waanze kwa kumshukuru Rais Samia na kumsifia nauliza wana vyeti vya form four?
Halafu unakuta ni MTU na ndevu zake kabisaKabla sijacoment nianze kwa kumshukuru Mama Samia!
Pili niseme naunga mkono hoja
😂😂😂😂😂
Na tutamlazimisha atawale hadi mwaka 2040 atake asitake tutamlazimisha!Acheni wivu wenu .kinachombeba Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania ni uchapa kazi wake na uzalendo wake uliotukuka kwa Taifa letu. Ni namna anavyowajali na kugusa maisha ya watanzania.ni namna alivyoleta nuru na mwanga kwa maisha ya watanzania. Ni namna alivyoleta mapambazuko katika uchumi wa watanzania mmoja mmoja na Taifa zima kwa ujumla wake. Kwa sasa kila mtu anao uhakika na matumaini makubwa sana kifuani pake wa kutimiza ndoto zake chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais Samia Suluhu Hasssan.
Ukitaka tapika kabisa tazama TBC!Hivi hawa mawaziri wana vyeti vya form four?
Sijaulizia Degrees, Master's au PhD.
Mtu yeyote angalau mwenye cheti cha kidato cha nne lazima ajitambue, hawezi kuishi kwa kutegemea bahati.
Kila jambo likija mikononi mwake anaamini kuwa ni haki yake na anastahili
Hawa mawaziri ambao kila wakiona mike na au kamera mbele zao wakiulizwa swali au jambo lolote lazima waanze kwa kumshukuru Rais Samia na kumsifia nauliza wana vyeti vya form four?
Wanafata nyanyo za mwendazakeHivi hawa mawaziri wana vyeti vya form four?
Sijaulizia Degrees, Master's au PhD.
Mtu yeyote angalau mwenye cheti cha kidato cha nne lazima ajitambue, hawezi kuishi kwa kutegemea bahati.
Kila jambo likija mikononi mwake anaamini kuwa ni haki yake na anastahili
Hawa mawaziri ambao kila wakiona mike na au kamera mbele zao wakiulizwa swali au jambo lolote lazima waanze kwa kumshukuru Rais Samia na kumsifia nauliza wana vyeti vya form four?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utasikia Nashukuru mh samia kwa kunipa uhai .