The Next MP
Member
- Nov 15, 2023
- 71
- 119
Kwanza kabisa namshukuru mama kwa kuamka mzima w afya, pili naomba mama ikimpendeza tunaomba na tupo chini ya miguu yake atupe pesa tujenge barabara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ambaye hajaelimika anaweza kuhoji, angali Kishimba na Pro Kitila nani kati yao ameelimika?Tena kubwa sana mkuu, unakuta msomi anavojipendekeza kwa mwanasiasa mpaka unashangaa, hana tofauti kabisa na mtu ambaye hajaelimika.
Sahivi hata kuoga lazima umshukuru RaisKuna wengine walivyo wapumbav hata wakimaliza KUKATA GOGO wanamshukuru
Nimecheka Hadi konyagi yangu imemwagika. Jiandae kujilipaUtasikia Nashukuru mh samia kwa kunipa uhai .
Kitila hajaelimika japo amepitia shule. Hata msukuma amempita kwa mbali Sana.Bora ambaye hajaelimika anaweza kuhoji, angali Kishimba na Pro Kitila nani kati yao ameelimika?
Ndiyo wasomi wa Tanzania wapo hivyo sasaKitila hajaelimika japo amepitia shule. Hata msukuma amempita kwa mbali Sana.
Kuna mmama kule Zanzibar alimpa makavu LIVE. Alitamani sakafu ipasuke kwa Soni.