Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Watanzania wote tupo zaidi ya million 60. lakini mawaziri hawazidi 30!Hivi hawa mawaziri wana vyeti vya form four?
Sijaulizia Degrees, Master's au PhD.
Mtu yeyote angalau mwenye cheti cha kidato cha nne lazima ajitambue, hawezi kuishi kwa kutegemea bahati.
Kila jambo likija mikononi mwake anaamini kuwa ni haki yake na anastahili.
Hawa mawaziri ambao kila wakiona mike na au kamera mbele zao wakiulizwa swali au jambo lolote lazima waanze kwa kumshukuru Rais Samia na kumsifia nauliza wana vyeti vya form four?
Pamoja na kuwa wako qualified na ni haki yao kuwa Mawaziri na si favour; ;bado kuna haja ya kumshukuru Mama kwa sababu hata akiamua kuwaondo wote kabisa leo, bado anaweza akapata wengine wengi tu wenye sifa kama za hawa aionao sasa
Kwa hali hiyo, wakati mwingine mtu unapokuwa uko radical sana kiasi cha kuwa unajiweka kwenye situation ambayo unataka vile ambavyo unavistahi na ni haki yako, huhitaji kuviambatanisha na shukrani kwa wale wanaokupatia; unakuwa una suffer coquences the SPERIORITY COMPLEX inayotokana na FEAR; na ambayo si kitu kizuri sana hasa kwa mtu ambaye ni mwanaume HALISI
Usiwe mtu wa kujihami sana kuonekana kuwa unawaheshimu au kuwakubali wengine. Kuwaheshimu wengine, kuwakubali ikiwa ni pamoja na kuwatamkia kwa mdomo kuwa unawakubali, ni mojawapo ya tabia za watu walio waungwana
Inakugharimu kitu gani kuwatamkia wengine kuwa unawakubali, especially mtu ambaye ni RAIS, na ambaye amekuteua kwenye nafasi nyeti ya watu wapatao 30 tu kati ya idadi ya watu wanaozidi million 60?
Ubarikiwe