Nchi ya ovyo, viongozi wateule hata wakiulizwa salamu tu lazima wamshukuru na kumsifia Samia

Watanzania wote tupo zaidi ya million 60. lakini mawaziri hawazidi 30!
Pamoja na kuwa wako qualified na ni haki yao kuwa Mawaziri na si favour; ;bado kuna haja ya kumshukuru Mama kwa sababu hata akiamua kuwaondo wote kabisa leo, bado anaweza akapata wengine wengi tu wenye sifa kama za hawa aionao sasa

Kwa hali hiyo, wakati mwingine mtu unapokuwa uko radical sana kiasi cha kuwa unajiweka kwenye situation ambayo unataka vile ambavyo unavistahi na ni haki yako, huhitaji kuviambatanisha na shukrani kwa wale wanaokupatia; unakuwa una suffer coquences the SPERIORITY COMPLEX inayotokana na FEAR; na ambayo si kitu kizuri sana hasa kwa mtu ambaye ni mwanaume HALISI

Usiwe mtu wa kujihami sana kuonekana kuwa unawaheshimu au kuwakubali wengine. Kuwaheshimu wengine, kuwakubali ikiwa ni pamoja na kuwatamkia kwa mdomo kuwa unawakubali, ni mojawapo ya tabia za watu walio waungwana

Inakugharimu kitu gani kuwatamkia wengine kuwa unawakubali, especially mtu ambaye ni RAIS, na ambaye amekuteua kwenye nafasi nyeti ya watu wapatao 30 tu kati ya idadi ya watu wanaozidi million 60?
Ubarikiwe
 
Ulitaka kuendelea ni vyema ukahama Tanzania ukaenda nchi zenye uongozi na mifumo inayojielewa
 
Wanamsifia sa100 kuliko wanavyomsifu Mungu... Sijawahi kuona nchi yaviongoz wahivi ikiendelea!!
 
🤣🤣🤣🤣tunamshukuru raisi wetu kwa kujitolea kuwa raisi wetu Asante...
 
Mkuu hata hivyo una moyo kusikiliza hicho kinyaa.
 
Unajua mkuu kila ninapokutana na post zako akili yangu inaniambia wewe ni mkuu mmoja wa wilaya ambaye ni failure huna unachokifanya kinachokufanya uendelee na hiyo nafasi ni huku kila mara kumsifia sifia huyo mwanamama aliyekuteua.

Mwanaume anayejitegemea hawezi kuwa na hizi style.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…