Nchi ya ovyo, viongozi wateule hata wakiulizwa salamu tu lazima wamshukuru na kumsifia Samia

Kwanza kabisa namshukuru mama kwa kuamka mzima w afya, pili naomba mama ikimpendeza tunaomba na tupo chini ya miguu yake atupe pesa tujenge barabara.
 
Tena kubwa sana mkuu, unakuta msomi anavojipendekeza kwa mwanasiasa mpaka unashangaa, hana tofauti kabisa na mtu ambaye hajaelimika.
Bora ambaye hajaelimika anaweza kuhoji, angali Kishimba na Pro Kitila nani kati yao ameelimika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…