MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
kagame mdogo ambae ni yanga pure atakuwepoKuna kila dalili Yanga anapeleka Yutong zaidi ya 200 Rwanda.
Wasiwasi wangu ni je Rwanda wamejipanga kwa huu ugeni wakuu?
Kuna tetesi kuwa Kagame atakuwepo Rusumo kuwapokea wadau.
Yanga hana kazi ndogo hata kidogo.
Na hii ndiyo maana halisi sasa ya neno Young Africans SC. Siyo kama wale wenzetu wengine wanaotumia jina la mnyama wa porini!
Unamaanisha mtoto wa kagame ?
Wameshajaza bus kwa kuwanunulia mashabiki wao nauli.Na hii ndiyo maana halisi sasa ya neno Young Africans SC. Siyo kama wale wenzetu wengine wanaotumia jina la mnyama wa porini!
Hivi nina wasiwasi kweli kama watafanikiwa hata kujaza basi moja tu kwenye safari yao ya kwenda Zambia.
Aahaaaaa,kikubwa twende hayo mengine tutayajua hukohukoKuna kila dalili Yanga anapeleka Yutong zaidi ya 200 Rwanda.
Wasiwasi wangu ni je Rwanda wamejipanga kwa huu ugeni wakuu?
Kuna tetesi kuwa Kagame atakuwepo Rusumo kuwapokea wadau.
Yanga hana kazi ndogo hata kidogo.
Scandinavia, Fresh ya Shamba, Okoa, Safina, Subira, Mgangaluma, Buffalo, Zainabs, Mwanahapa, Hekima, Kiswele, Matema Beach, Ngorika, Tawaqal, Tahfif, Akida Trans, Tanganyika, Trans Africa zote national hapo Rusumo.Kuna kila dalili Yanga anapeleka Yutong zaidi ya 200 Rwanda.
Wasiwasi wangu ni je Rwanda wamejipanga kwa huu ugeni wakuu?
Kuna tetesi kuwa Kagame atakuwepo Rusumo kuwapokea wadau.
Yanga hana kazi ndogo hata kidogo.
Mizee mizima mnajiita young...Africans mtaendelea kuwa wadogo tuu kwenye mashindano ya kimataifa...jina linawalaNa hii ndiyo maana halisi sasa ya neno Young Africans SC. Siyo kama wale wenzetu wengine wanaotumia jina la mnyama wa porini!
Hivi nina wasiwasi kweli kama watafanikiwa hata kujaza basi moja tu kwenye safari yao ya kwenda Zambia.
Lake Transport, Sinai, Sabena, Nbs, Digidigi, Asha's, Mohamed trans,Scandinavia, Fresh ya Shamba, Okoa, Safina, Subira, Mgangaluma, Buffalo, Zainabs, Mwanahapa, Hekima, Kiswele, Matema Beach, Ngorika, Tawaqal, Tahfif, Akida Trans, Tanganyika, Trans Africa zote national hapo Rusumo.
Umri wa ujana kwa utaratibu wetu ni miaka chini ya miaka 35!Mizee mizima mnajiita young...Africans mtaendelea kuwa wadogo tuu kwenye mashindano ya kimataifa...jina linawala
Tulia wewe! Mchezaji gani amekulalamikia hajalipwa mshahara/stahiki zake?kulipa wachezaji tu kunawatoa jasho alafu unakuja kujifariji huku!
young kwa mujibu wa sheria ni chini ya miaka 18...baada ya hapo ww ni mtu mzima/kijanaUmri wa ujana kwa utaratibu wetu ni miaka chini ya miaka 35!
Sasa uniambie hapa, kuna akina Saido Ntibazonkiza, Shomari Kapombe, mohamed Hussein, John Bocco wangapi kwenye kikosi cha Young Africans Sc!!!
Nadhani jina linaendana na uhalisia. Timu imejaa vijana kutoka maeneo karibia yote ya Afrika!! Kuanzia Kusini, Mashariki, Kati, Magharibi!! Kasoro Kaskazini tu, ambako tumeona hakuna mchezaji mwenye sifa za kuichezea timu yetu.
Mmeshafunguliwa na FIFA?Tulia wewe! Mchezaji gani amekulalamikia hajalipwa mshahara/stahiki zake?