Nchi ya Rwanda ina uwezo wa kupokea basi 100 kwa wakati mmoja?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kuna kila dalili Yanga anapeleka Yutong zaidi ya 200 Rwanda.

Wasiwasi wangu ni je Rwanda wamejipanga kwa huu ugeni wakuu?

Kuna tetesi kuwa Kagame atakuwepo Rusumo kuwapokea wadau.

Yanga hana kazi ndogo hata kidogo.
 
kagame mdogo ambae ni yanga pure atakuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga hana ugeni ukanda huu
Kila nchi ni nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii ndiyo maana halisi sasa ya neno Young Africans SC. Siyo kama wale wenzetu wengine wanaotumia jina la mnyama wa porini!

Hivi nina wasiwasi kweli kama watafanikiwa hata kujaza basi moja tu kwenye safari yao ya kwenda Zambia.
 
Kuna kila dalili Yanga anapeleka Yutong zaidi ya 200 Rwanda.

Wasiwasi wangu ni je Rwanda wamejipanga kwa huu ugeni wakuu?

Kuna tetesi kuwa Kagame atakuwepo Rusumo kuwapokea wadau.

Yanga hana kazi ndogo hata kidogo.
Scandinavia, Fresh ya Shamba, Okoa, Safina, Subira, Mgangaluma, Buffalo, Zainabs, Mwanahapa, Hekima, Kiswele, Matema Beach, Ngorika, Tawaqal, Tahfif, Akida Trans, Tanganyika, Trans Africa zote national hapo Rusumo.
 
Na hii ndiyo maana halisi sasa ya neno Young Africans SC. Siyo kama wale wenzetu wengine wanaotumia jina la mnyama wa porini!

Hivi nina wasiwasi kweli kama watafanikiwa hata kujaza basi moja tu kwenye safari yao ya kwenda Zambia.
Mizee mizima mnajiita young...Africans mtaendelea kuwa wadogo tuu kwenye mashindano ya kimataifa...jina linawala
 
Scandinavia, Fresh ya Shamba, Okoa, Safina, Subira, Mgangaluma, Buffalo, Zainabs, Mwanahapa, Hekima, Kiswele, Matema Beach, Ngorika, Tawaqal, Tahfif, Akida Trans, Tanganyika, Trans Africa zote national hapo Rusumo.
Lake Transport, Sinai, Sabena, Nbs, Digidigi, Asha's, Mohamed trans,
 
Mizee mizima mnajiita young...Africans mtaendelea kuwa wadogo tuu kwenye mashindano ya kimataifa...jina linawala
Umri wa ujana kwa utaratibu wetu ni miaka chini ya miaka 35!
Sasa uniambie hapa, kuna akina Saido Ntibazonkiza, Shomari Kapombe, mohamed Hussein, John Bocco wangapi kwenye kikosi cha Young Africans Sc!!!

Nadhani jina linaendana na uhalisia. Timu imejaa vijana kutoka maeneo karibia yote ya Afrika!! Kuanzia Kusini, Mashariki, Kati, Magharibi!! Kasoro Kaskazini tu, ambako tumeona hakuna mchezaji mwenye sifa za kuichezea timu yetu.
 
young kwa mujibu wa sheria ni chini ya miaka 18...baada ya hapo ww ni mtu mzima/kijana
 
Back
Top Bottom