Kwahiyo wewe ndio unajua zaidi kwamba south inaihitaji israel kuliko wasouthafrica? Hii dunia ina watu wajinga sanaAfrica ya kusini inaihitaji zaidi Israel kuliko other way,na hii ni kutapa tapa kwa ANC ambao definitely next year wanapoteza uwezo wa kuitawala SA, another so called liberation party ina hit the dust!,na isipotokea hili nitatembea kwa miguu kutoka huku lingusenguse hadi kabuku,Handeni
Embu toa ujinga wako povu lote hilo kisa kaishitaki israel?Afrika Kusini ni irrelevant country, ICC ilipotoa amri ya kumkamata Al Bashir kwa mauaji tena wa Wasudani walio weusi, Afrika Kusini ilikuwa ya kwanza kumpokea bila wasiwasi wowote.
Kuna nchi za Afrika zipo vitani miaka na miaka, Afrika Kusini yupo kimya, tena mbaya zaidi mabeberu ya Afrika Kusini yakiwa yanafaidika na vita vya Congo DRC.
Russia kamvamia Ukraine, Afrika Kusini yupo kimya tena amemkaribisha Putin kwa mikono miwili.
Kwa kifupi unaweza ona kuwa ANC hawakustahili kusaidiwa kupata uhuru kutokana na ujinga wao.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Ni kweli ANC ina shida ktk ku-handle mambo magumu kama haya. Wasichojua watu wa ANC na washirika wao ndani ya South Africa ni kwamba kuna Wayahudi wengi sana ndani ya nchi hiyo ambao wameshika nafasi zote nyeti kabisa ndani ya South Africa, kwenye taasisi za ki-Serikali na hata kwenye Makampuni binafsi.Africa ya kusini inaihitaji zaidi Israel kuliko other way,na hii ni kutapa tapa kwa ANC ambao definitely next year wanapoteza uwezo wa kuitawala SA, another so called liberation party ina hit the dust!,na isipotokea hili nitatembea kwa miguu kutoka huku lingusenguse hadi kabuku,Handeni
Israel ndio zaidi,maana kila leo raia wanaambiwa waondoke sehemu Fulani itapigwa,wanaobakigi ni magaidi na wake za magaidi wanaowapikia.Raia wema wapo salama lakini magaidi yanafyekwa.Russia ilitoa nafasi kwa watu ambao hawahisiki kutoka
Mungu ilaani israelGod Bless Israel
So whatNi kweli ANC ina shida ktk ku-handle mambo magumu kama haya. Wasichojua watu wa ANC na washirika wao ndani ya South Africa ni kwamba kuna Wayahudi wengi sana ndani ya nchi hiyo ambao wameshika nafasi zote nyeti kabisa ndani ya South Africa, kwenye taasisi za ki-Serikali na hata kwenye Makampuni binafsi.
Hakika mkuu,ni wanafiki sana.Afrika Kusini ni irrelevant country, ICC ilipotoa amri ya kumkamata Al Bashir kwa mauaji tena wa Wasudani walio weusi, Afrika Kusini ilikuwa ya kwanza kumpokea bila wasiwasi wowote.
Kuna nchi za Afrika zipo vitani miaka na miaka, Afrika Kusini yupo kimya, tena mbaya zaidi mabeberu ya Afrika Kusini yakiwa yanafaidika na vita vya Congo DRC.
Russia kamvamia Ukraine, Afrika Kusini yupo kimya tena amemkaribisha Putin kwa mikono miwili.
Kwa kifupi unaweza ona kuwa ANC hawakustahili kusaidiwa kupata uhuru kutokana na ujinga wao.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Wapi aliilaani,lete ushahidi.Kama huna acha kushika mafundisho ya masheikh ubwabwa ambao elimu dunia ni sifuri.Mungu ilaani israel
Nchi ipi kwamfano.South Africa anakumbuka utu nchi za kiarabu zilikiwa upande wake wakati wanatawaliwa na waingereza
Hili umeachiwa wewe [emoji1787]Ukraine anapitia anayopitia Palestine mbona hata tamko tu la kuilaani Russia hatukusikia?
Katika Taifa lililokuwa active kusuluhisha huo mgogoro South Africa walikuwemo,Ukraine anapitia anayopitia Palestine mbona hata tamko tu la kuilaani Russia hatukusikia?
Je sababu ni Failed state watupe Utu wao? Wawaachie wazayuni watawale watoto na wajukuu wao? Kesho na keshokutwa South Africa ikitawala Tena na weusi kuanza kubaguliwa itakua ndio furaha Yako?South Africa is a failed state.
Hii nchi hata vitu vya msingi kama maji na umeme imeshindwa kuwapatia raia wake. Halafu inajitia kimbelembele kwenda kushadadia mambo ya Waarabu na Wayahudi.
Miundombinu aliyoacha mkoloni inachakaa, usalama nchini kwao hakuna mauaji mitaani kama movie vile. Hayo ndiyo mambo ilipaswa kushughulika nayo hayo mengine waachie wenyewe Waarabu na Wayahudi
Njoo na hoja acha kupiga domo bila sababu.Embu toa ujinga wako povu lote hilo kisa kaishitaki israel?
Morocco imetengwa na mataifa mengi tu ya Africa, ikiwemo Tanzania for the exception Of Magu.Wanafiki tu hao,mbona Sahara inahangaikia uhuru mpaka Leo hawapati kwanini hawawaungi mkono?
Ww ni kipi ulicho kifanya zaidi ya kushangilia mauaji ya watu ?Mwenzetu genius umefanya kitu gani cha maana zaidi ya ufisadi?
Huo upendo kwa wote hauwahusu watu wa palestina wakiwemo wakristo wenzio unao shinda humu unashangilia mauaji na mateso yao?Ukiona mkristo anatukana ujue ni pandikizi kutoka upande wenu,maana sisi tunafundishwa upendo kwa wote lakini ninyi mnafundishwa chuki kwa wasio wenu na visasi
raia wa Ukraine wamewahi kuwekwa kwenye 'open air prison' kama wapalestina?Ukraine anapitia anayopitia Palestine mbona hata tamko tu la kuilaani Russia hatukusikia?
Upumbavu ukizidi haya ndio majibu yake,angalia uchumi wa Israel vs South Africa, na pia angali biashara kati yao,nani anauza zaidi na kununua zaidi ya mwenzake, nadhani umeelimika zaidiKwahiyo wewe ndio unajua zaidi kwamba south inaihitaji israel kuliko wasouthafrica? Hii dunia ina watu wajinga sana
Exactly mkuu,ANC safari imewadia mwakani wapo nje ya wigo, kinyume chake wafunge ndoa ya mkeka na EFFNiko na jamaa yangu hapa ukitaka kugombana nae, mwambie wewe si uliipigia kura ANC. Usikilize majibu yake ANC na CCM hawana tofauti wote huwa kama wanatumia propaganda hizo hizo ( umeme bongo V's umeme SA )