Afrika Kusini ni irrelevant country, ICC ilipotoa amri ya kumkamata Al Bashir kwa mauaji tena wa Wasudani walio weusi, Afrika Kusini ilikuwa ya kwanza kumpokea bila wasiwasi wowote.
Kuna nchi za Afrika zipo vitani miaka na miaka, Afrika Kusini yupo kimya, tena mbaya zaidi mabeberu ya Afrika Kusini yakiwa yanafaidika na vita vya Congo DRC.
Russia kamvamia Ukraine, Afrika Kusini yupo kimya tena amemkaribisha Putin kwa mikono miwili.
Kwa kifupi unaweza ona kuwa ANC hawakustahili kusaidiwa kupata uhuru kutokana na ujinga wao.
Sent from my SM-A6050 using
JamiiForums mobile app