Nchi za Afrika zinajidhalilisha sana, kulikuwa na haja gani Afrika Kusini kuishtaki Israel mahakama ya ICJ?

Nchi za Afrika zinajidhalilisha sana, kulikuwa na haja gani Afrika Kusini kuishtaki Israel mahakama ya ICJ?

Africa ya kusini inaihitaji zaidi Israel kuliko other way,na hii ni kutapa tapa kwa ANC ambao definitely next year wanapoteza uwezo wa kuitawala SA, another so called liberation party ina hit the dust!,na isipotokea hili nitatembea kwa miguu kutoka huku lingusenguse hadi kabuku,Handeni
Kwahiyo wewe ndio unajua zaidi kwamba south inaihitaji israel kuliko wasouthafrica? Hii dunia ina watu wajinga sana
 
Afrika Kusini ni irrelevant country, ICC ilipotoa amri ya kumkamata Al Bashir kwa mauaji tena wa Wasudani walio weusi, Afrika Kusini ilikuwa ya kwanza kumpokea bila wasiwasi wowote.
Kuna nchi za Afrika zipo vitani miaka na miaka, Afrika Kusini yupo kimya, tena mbaya zaidi mabeberu ya Afrika Kusini yakiwa yanafaidika na vita vya Congo DRC.
Russia kamvamia Ukraine, Afrika Kusini yupo kimya tena amemkaribisha Putin kwa mikono miwili.
Kwa kifupi unaweza ona kuwa ANC hawakustahili kusaidiwa kupata uhuru kutokana na ujinga wao.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Embu toa ujinga wako povu lote hilo kisa kaishitaki israel?
 
Africa ya kusini inaihitaji zaidi Israel kuliko other way,na hii ni kutapa tapa kwa ANC ambao definitely next year wanapoteza uwezo wa kuitawala SA, another so called liberation party ina hit the dust!,na isipotokea hili nitatembea kwa miguu kutoka huku lingusenguse hadi kabuku,Handeni
Ni kweli ANC ina shida ktk ku-handle mambo magumu kama haya. Wasichojua watu wa ANC na washirika wao ndani ya South Africa ni kwamba kuna Wayahudi wengi sana ndani ya nchi hiyo ambao wameshika nafasi zote nyeti kabisa ndani ya South Africa, kwenye taasisi za ki-Serikali na hata kwenye Makampuni binafsi.
 
Russia ilitoa nafasi kwa watu ambao hawahisiki kutoka
Israel ndio zaidi,maana kila leo raia wanaambiwa waondoke sehemu Fulani itapigwa,wanaobakigi ni magaidi na wake za magaidi wanaowapikia.Raia wema wapo salama lakini magaidi yanafyekwa.
 
Ni kweli ANC ina shida ktk ku-handle mambo magumu kama haya. Wasichojua watu wa ANC na washirika wao ndani ya South Africa ni kwamba kuna Wayahudi wengi sana ndani ya nchi hiyo ambao wameshika nafasi zote nyeti kabisa ndani ya South Africa, kwenye taasisi za ki-Serikali na hata kwenye Makampuni binafsi.
So what
 
Afrika Kusini ni irrelevant country, ICC ilipotoa amri ya kumkamata Al Bashir kwa mauaji tena wa Wasudani walio weusi, Afrika Kusini ilikuwa ya kwanza kumpokea bila wasiwasi wowote.
Kuna nchi za Afrika zipo vitani miaka na miaka, Afrika Kusini yupo kimya, tena mbaya zaidi mabeberu ya Afrika Kusini yakiwa yanafaidika na vita vya Congo DRC.
Russia kamvamia Ukraine, Afrika Kusini yupo kimya tena amemkaribisha Putin kwa mikono miwili.
Kwa kifupi unaweza ona kuwa ANC hawakustahili kusaidiwa kupata uhuru kutokana na ujinga wao.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hakika mkuu,ni wanafiki sana.
 
South Africa anakumbuka utu nchi za kiarabu zilikiwa upande wake wakati wanatawaliwa na waingereza
 
Ukraine anapitia anayopitia Palestine mbona hata tamko tu la kuilaani Russia hatukusikia?
Katika Taifa lililokuwa active kusuluhisha huo mgogoro South Africa walikuwemo,
images (2).jpeg

Sera ya south ilikua ni kupata suluhisho la Amani.
 
South Africa is a failed state.
Hii nchi hata vitu vya msingi kama maji na umeme imeshindwa kuwapatia raia wake. Halafu inajitia kimbelembele kwenda kushadadia mambo ya Waarabu na Wayahudi.

Miundombinu aliyoacha mkoloni inachakaa, usalama nchini kwao hakuna mauaji mitaani kama movie vile. Hayo ndiyo mambo ilipaswa kushughulika nayo hayo mengine waachie wenyewe Waarabu na Wayahudi
Je sababu ni Failed state watupe Utu wao? Wawaachie wazayuni watawale watoto na wajukuu wao? Kesho na keshokutwa South Africa ikitawala Tena na weusi kuanza kubaguliwa itakua ndio furaha Yako?
 
Wanafiki tu hao,mbona Sahara inahangaikia uhuru mpaka Leo hawapati kwanini hawawaungi mkono?
Morocco imetengwa na mataifa mengi tu ya Africa, ikiwemo Tanzania for the exception Of Magu.

Hii ramani ya Dunia ikionesha Nchi zinazounga mkono Morocco ama Western Sahara,
Western_Sahara_Positions.svg.png

Tanzania, Kenya, Uganda, South Africa na mataifa mengi Africa yanaunga mkono western Sahara, Hao wanaojiita Machampion ya Demokrasia wapo busy kuunga Mkono huo Uvamizi.

Hivyo kumsingizia South kwamba Haungi mkono Sahara kunaonesha hujui unaloongea
 
Ukiona mkristo anatukana ujue ni pandikizi kutoka upande wenu,maana sisi tunafundishwa upendo kwa wote lakini ninyi mnafundishwa chuki kwa wasio wenu na visasi
Huo upendo kwa wote hauwahusu watu wa palestina wakiwemo wakristo wenzio unao shinda humu unashangilia mauaji na mateso yao?
 
Ukraine anapitia anayopitia Palestine mbona hata tamko tu la kuilaani Russia hatukusikia?
raia wa Ukraine wamewahi kuwekwa kwenye 'open air prison' kama wapalestina?

raia wa Ukraine wanaporwa ardhi ovyo ovyo kama wanavyofanyiwa wapalestina?

Hebu funguka ubongo kidogo halafu ndiyo ulinganishe Ukraine na Palestine.
 
Kwahiyo wewe ndio unajua zaidi kwamba south inaihitaji israel kuliko wasouthafrica? Hii dunia ina watu wajinga sana
Upumbavu ukizidi haya ndio majibu yake,angalia uchumi wa Israel vs South Africa, na pia angali biashara kati yao,nani anauza zaidi na kununua zaidi ya mwenzake, nadhani umeelimika zaidi
 
Niko na jamaa yangu hapa ukitaka kugombana nae, mwambie wewe si uliipigia kura ANC. Usikilize majibu yake ANC na CCM hawana tofauti wote huwa kama wanatumia propaganda hizo hizo ( umeme bongo V's umeme SA )
Exactly mkuu,ANC safari imewadia mwakani wapo nje ya wigo, kinyume chake wafunge ndoa ya mkeka na EFF
 
Back
Top Bottom