Nchi za Afrika zinazoongoza kufanya mapenzi

Jirani utawaweza kausha damu wa JF [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ili mradi tu nae nimjibu aone siku yake imeenda poa yaani tafrani humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wangoniii kabla michuano haijaanza, wao wako final tayariii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] au mama atupe bendera tuende tukaiwakilishe nchi kwenye hio ligi hatuwezi dharaulika hivi hawa waliofanya tafiti waletwe watuonyeshe njia waliotumia kusanya data za hizo tafiti yao

Twende tukawaonyeshe kwann tunastahili kuchukua tuzo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…