Nchi za kiarabu na viongozi wa kiislamu wakutana Saudi Arabia na kutoka na tamko moja la kuitaka Israel isitishe vita

Nilitegemea watasema waivamie Israel
Hilo Haliwezekani Kwa waarabu . Ni waoga wa kutupwa .
Katika kikao Cha hao viongozi Rais wa Syria Bashar Al Assad Kuna picha alionekana akicheka katikati ya majadiliano , picha hiyo imemletea kasheshe Sana imeonekana hawakua serious Hawa viongozi. 🤣🤣🤣
 
nchi zinajali uchumi na sio kuwaunga mkono waapalestina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…