Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Nilishasema SAUDIA, ISRAEL, JAPAN, S.KOREA, KUWAIT, TAIWAN , HONG KONG ndio machawa wakubwa wa USA pale ASIA bila kumsahau INDIA. TAKE A NOTE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... Lakini si unasoma projectile direction? Kama halitui kwako unaliacha linapita zake? Lenye uelekeo wa kuja kwako unaliwahi kule kule angani?Uko kote umeenda mbali. Kimataifa, anga la nchi ni mali ya nchi husika. Anga ni kama ardhi au maji. Ni territory.
Sasa kwa kuzingatia kwamba Iran na Israel hazipakani, inabidi Iran ikifanya shambulizi lipitie anga la Jordan, Syria na Saudi Arabia, Iraq au Lebanon. Kati ya hizo nchi tajwa ni Saudi Arabia na Jordan pekee zenye air defense systems za ku-engage targets. Na Iran hakuomba air corridor kwa yeyote, na hakuna yeyote angempa hata Syria na Iraq hawapendi ila wanaburuzwa na Iran. Hivyo Saudi na Jordan wamehusika sababu makombora yalikuwa angani kwaoView attachment 2964441
Huwezi beba mabomu ukayapitisha barabara za Tanzania kuyatoa Kenya kuyapeleka kuyalipua Congo alafu ukikamatwa unalalamika na kutafuta visingizio sijui Rais wa Congo na wa Tanzania ni ndugu wa siri. Tutajuaje unaenda kuyalipua Congo na si hapo Kigoma? Jordan ingejuaje kama makombora yanaenda Israel na hayatui Amman, au Saudi Arabia ingejuaje kama drones za Iran haziendi Madina au Makkah?
Kama wale takataka zingine wanaojipendekeza kwa mazayuni na wamagharibiHawa wa hapa kwetu ni takataka zinazojipendekeza kwa waarabu. Mujahidina weusi hawatambulikani popote.
Unaweza jua linatua wapi ukisoma projectile direction kama kombora lipo kwenye terminal phase. Au pale immediately baada ya kufyatuliwa ukajua linaelekea wapi ila hujui litatua wapi, na hapo katikati likiwa kwenye cruising huwezi jua linaenda wapi.... Lakini si unasoma projectile direction? Kama halitui kwako unaliacha linapita zake? Lenye uelekeo wa kuja kwako unaliwahi kule kule angani?
Waarabu wameshawekwa kiganjani na Marekani kitambo, hat suala la Palestine wameshalisahauTulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu
Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua mkombora ya Iran ili kuinusuru Israel.
Leo Saudi Arabia nayo imekiri kushiriki nyuma ya pazia kuinusuru Israel isichezee fire.
Labda watu wasichokifahamu ni kuwa Utawala wa Hashimite wa Jordan kiasili ni Wasaudia, Ufalme huo ndiyo uliokuwa ukiongoza eneo la leo la Saudia ambapo kuna Makkah na Madina (Zamani palikuwa pakiitwa Hijjaz). Waingereza waliwachezea trick hawa waheshimite kwa kuwaambia waasi utawala wa ottoman katika eneo hilo kisha waottoman wakishindwa vita watawafanya wao kutawala eneo hilo. Kweli Waheshimite wakaanzish operesheni za kuwasabotage Waottoman mpaka muingereza akitumia majasusi wake akina Laurence of Arabia akafanikiwa kumng'oa Muottoman huko.
Lakini at the same time Muingereza alikuwa na Plan B, alikuwa na mshirika wake mwingine akiitwa Al-Saud, akamsaidia Al-Saudi kuwapiga na kuwaondoa waheshimite huko Hijjaz ufalme wa Hashim ukapewa option ya kuondoka Saudia waende wakatawale Iraq, Hata hivyo hata huko Iraq ilishindikana na ndipo wakati Muingereza aliposhinda vita ya pili ya dunia na kufanikiwa kumuondoa Ottoman empire katika eneo lile la Palestina na Jordan, Muingereza akakata pande la nchi akaupa utawala wa Jordan utawale pale. Kwa hiyo huo utawala wa Jordan ni Wasaudia wanaolindwa na Muingereza kama ambavyo utawala wa Saudia wanavyolindwa na Muingereza na mmarekani.
Kwa hiyo, kiufupi Umma wa Waarabu unachukia mambo ya Magharibi ila Wafalme wao wamo mfukoni
Hii habari inaweza kuangaliwa hapa:
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Saudi Arabia acknowledges helping defend Israel against Iran
Saudi Arabia acknowledged that it had helped the newly forged regional military coalition — Israel, the United States, Jordan, the United Kingdom, and France — repel an Iranian attack against the Jewish state early Sunday morning, in an unusual post on its royal family’s website.
It referenced a story on KAN News about the Saudi involvement in the military defensive operation in which 99% of the Iranian drones and missiles were destroyed before hitting their targets.
Many of the drones and missiles had to travel over Jordanian and Saudi airspace to reach Israel.
Riyadh subtly admits it played a part in defense against Iran
Jordan has been public about its involvement, while the closest Saudi Arabia has come to acknowledging it was the story it posted on its website summarizing what a source from the Saudi royal family had told KAN.
“The individual subtly acknowledges Saudi Arabia’s supposed involvement in thwarting Iranian attack drones bound for Israel the previous evening, citing that Saudi Arabian airspace automatically intercepts “any suspicious entity"", the report on the royal family’s website stated.
![]()
Saudi Arabia says it helped defend Israel against Iran — report
Many of the drones and missiles had to travel over Jordanian and Saudi airspace to reach Israel.www.jpost.com
Iran ni nchi yenye nidhamu ya juu sana na haipendi vurugu na mtu yoyote kinachowqkera wamegharim ni uwwzo wake wa kujitegemea na kufanya ugunduzi wa technology kwenye jeshi lakeWaarabu wengi wa mashariki ya kati hawapendi vurugu za Iran
Ila pia kuna minorities Iranian Arabs, kurd, baluchistan, Azerbaijan etc. Siyo wote wairan ni waajemi sema majority ndo maana wanaitwa Iranian siku hizi siyo persians.Wairan sio warabu ni waajaemi... Persians
Mkuu ulivyo jeusi tii kama tako la iddi Amin eti una uhakika ukifa kwenye uislamu utabadilika kuwa mwarabu ndo maana mnajisugua paji za zenu mpate sijda. Sababu kubwa ya nyie mijitu mieusii kuwa miislam ni kubadilika kuwa miarabu mkifa.Kama wale takataka zingine wanaojipendekeza kwa mazayuni na wamagharibi
MagaidiNa hawa Wavaa kobazi wa bongo ni washia au wasuni
Yaani ninyi, Madhehebu ni muhimu kuliko Uislamu mpaka mkashirikiane na adui dhidi ya mwislamu mwenzenu? Kweli mmegawanywa na mmekubali kugawanyikaHao waarabu unowasema ni wa kabila la Suni.
Iran yaongozwa na washia.
Hivyo wasuni wa Iraq, Jordan na waarabu wa Misri pamoja na nchi ya Lebanon ni lazima wawasaidie nchi za magharibi dhidi ya Iran.
Ndo maana Iran watuhumiwa kuwasaidia wahuthi wa Yemen, Washia wa iraq na Syria na wale washia wa Hezbollah walioko kusini mwa Lebanon.
ISIS ni kabila la wasunni hivyo mara nyingi magaidi wake hutumika kuwadhuru washiia kama lile shambulizi nchini Iran lilofanywa mapema mwezi januari lilouwa watu zaidi ya 84 waliuawa.
We jamaa hupendi amani kabisa!!Na hawa Wavaa kobazi wa bongo ni washia au wasuni
Hii haihusu madhehebu wala dini ya kiislamu bali ni ukabila miongoni mwa waarabu.Yaani ninyi, Madhehebu ni muhimu kuliko Uislamu mpaka mkashirikiane na adui dhidi ya mwislamu mwenzenu? Kweli mmegawanywa na mmekubali kugawanyika
Huwa nnachukia sana kuona mtu anaongea kitu ambacho hana ujuzi nacho kwani kitu km hukijui ukinyamaza utakuwa mjinga?sasa ww aliekwambia sunni na shia ni makabila nani?yaani sawa utuambie kabila la kkkt na kabila la wasabato huna unachojua hila wakristo wengi huwa wanajifanya wanaijua sn uislam wakati ya kwao tu hawayajui na mngekuwa mnaijua dini yenu msingemuita binaadamu mwenzenu munguHao waarabu unowasema ni wa kabila la Suni.
Iran yaongozwa na washia.
Hivyo wasuni wa Iraq, Jordan na waarabu wa Misri pamoja na nchi ya Lebanon ni lazima wawasaidie nchi za magharibi dhidi ya Iran.
Ndo maana Iran watuhumiwa kuwasaidia wahuthi wa Yemen, Washia wa iraq na Syria na wale washia wa Hezbollah walioko kusini mwa Lebanon.
ISIS ni kabila la wasunni hivyo mara nyingi magaidi wake hutumika kuwadhuru washiia kama lile shambulizi nchini Iran lilofanywa mapema mwezi januari lilouwa watu zaidi ya 84 waliuawa.
Hapana, kutambua kuwa hawa na washia na hawa ni wasunni ni rahisi sana.Huwa nnachukia sana kuona mtu anaongea kitu ambacho hana ujuzi nacho kwani kitu km hukijui ukinyamaza utakuwa mjinga?sasa ww aliekwambia sunni na shia ni makabila nani?yaani sawa utuambie kabila la kkkt na kabila la wasabato huna unachojua hila wakristo wengi huwa wanajifanya wanaijua sn uislam wakati ya kwao tu hawayajui na mngekuwa mnaijua dini yenu msingemuita binaadamu mwenzenu mungu
Nchi za kiarabu wanaamini Iran ni hatari kwao zaidi wa Israel. Wanaamini Israel hawawezi kuhatarisha usalama wao kwa sababu Israel ni watu nipe nikupe kwa maana nyingine maslahi ya pande zote( Mutual interest). Kwa upande wa Iran wao wanaendeshwa na ideology za kidini zaidi wata ku support ukiwa kama wao kwa maana Shiaa. Na Iran hatari zaidi kwa kuweka vikundi vyao katika nchi kama Lebanon, Yemen na Syria wana ushawishi mkubwa na yote udini.Waarabu wengi wa mashariki ya kati hawapendi vurugu za Iran
Good contribution , Iran ni cancer mashariki na kati na kwanini utumie anga ya mtu kibabeUnaweza jua linatua wapi ukisoma projectile direction kama kombora lipo kwenye terminal phase. Au pale immediately baada ya kufyatuliwa ukajua linaelekea wapi ila hujui litatua wapi, na hapo katikati likiwa kwenye cruising huwezi jua linaenda wapi.
Na inategemea placement ya hizo air defense system, kama radar ipo Ujiji na launcher ipo Tabora na unaona kombora linaingia anga la Kigoma kuelekea Tabora, huwezi liacha wakati unajua Tabora hakuna launcher au hakuna radar coverage. Na kama ni crusie missile inaweza change course, hujui kama linaenda mji mkuu Dodoma. Na hizo drones nazo zinabadili uelekeo. Haujiaminishi tu kwamba sisi Congo hatuna ugomvi nao wako wanapigana na Kenya.
Hao majirani za Iran wote wana wasiwasi nae. Jordan ina makundi ya Kipalestina yanapewa silaha na Iran, Saudi Arabia ni Wasuni wana ugomvi na Washia wa Iran. Sasa wanajiamini vipi kwamba hawapigwi wao.
Hawa wao ni bendera fuata upepo!Hawa wa hapa kwetu ni takataka zinazojipendekeza kwa waarabu. Mujahidina weusi hawatambulikani popote.
Wasuni wanamuombeaga heri swahaba wa mtume bwana Abubakar ila Shia wanaamini Abubar hakuwa swahaba wa mtume, hilo tu ni ugomvi kati yaoHapana, kutambua kuwa hawa na washia na hawa ni wasunni ni rahisi sana.
Nimeingiza kwa makosa neno ukabila kwani lilinijia suala la Kimbari.
Wasunni na Washia ni waislam ambao wanafuata misingi yote mitume na msahafu takatifu.
Na tatizo linowatenganisha ni imani kwamba yupi khasa ni kiongozi wa dini ya kiislamu baada ya kifo cha mtume Muhammad.
Wasunni na ambao ndo wengi wao waamini kwamba Abu Bakar ambae alikuwa ni mfuasi wa mtume ndie anestahiki kuwa kiongozi, wakati Washia ambao ni wachache wao waamini kuwa Ali ambae alikuwa ni mkwe wa Mtume Muhammad ndie aliestahiki kuwa kiongozi wao.
Shia maana yake ni jumuiya ya Ali.
Huo ndo uelewa wangu kiasi lakini waweza kukosoa na kunisahihisha.